Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahha kama nakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha kama nakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kweli huna hela weweMkuu humu jf tusiokuwa na mahela ni mimi na wewe tu
Sina kabisaMkuu kweli huna hela wewe
Mkuu humu jf tusiokuwa na mahela ni mimi na wewe tu
Mkuu kuna watu wanauza nyumba za urithi. Hawa ndyo wanakimbilia humu. Tena asilimia kubwa ni watoto wa mjini hata shule unakuta walikacha. Bhati unakuta wazee wao ndyo walikuwa na tuvibanda mijini hasa zile nyumba tunazoitaga za uswahilini. Sasa hivi ukiangalima miji mingi, hizi nyumba zinavunjwa baada ya mwaka unakuta umenyanyukiwa gorofa ya hatari. Viwanja unakuta bei sio chin ya 1b.Humu kila mtu tajiri so be careful huyo mwenye million 700 ukute hata million moja hajawahi kushika, wenye hela ndefu wanajua au wanabiashara tayari, huwezi kuwa na hyo hela hujua chakufanya huo uwendawazimu na ndoto