Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Sasa mnafeli wapi au tamaa za nyegeWanawake tukiamua Tunaweza maliza wimbi la usingle mother.Tukiamua kubadilisha tabia na misimamo yetu juu ya mahusiano yetu ya kingono yanayopelekea mimba na baadaye mtoto.
Mko vizuri kusema ata namba hamna kumbe kuna Muhuni anajipigia kimya kimya muache ugaratiaKuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Wanalainikaga wakikutana na walioteka nyoyo zao.Kuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Hivi kumbe naomba kujua anaenipenda alafu ataki kuniambia🤣Wanalainikaga wakikutana na walioteka nyoyo zao.
Ni sawa na mbwa akimuona chatu, huwa ananywea.
Acha tu na haya makanisa ya kilokole ndiyo yanaongoza kuvunja ndoa za watu, mke wa mtu anakaa kanisani mpka saa sita za usiku et maombiInasikitisha sana
Ila kuna wanawake siku hizi wanajisifia kuwa single mother sababu ya vipato vyao vikubwa na kuna mabinti wengine wanadream kuwa single mothers,hasa kuzaa tuu na wanaume wenye hela,hajali kesho yake.Loh!! 🤦♀️
Kupata mimba ni maamuzi.. mara nyingi anakuwa ameamua, umri unaenda anaamua bora ajipatie tu mwanae..asije kuzeeka akalea mjukuu au kukosa mtoto kabisa.. Wanawake ni kama maua kuna muda ukifika yananyauka, akili inakuja yenyewe tu.. liwalo na liwe... Kumbuka Menopause nazo....Kuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Kweli itakuwa ni vizuri kwa manufaa ya kizazi kijacho wanawake wengi kazi zinawapa kiburi ila swala kulea kila kitu ataachiwa mfanyakazi wa ndani na hao wasichana wa kazi kutwa wanawaza ngonoWanawake tukiamua Tunaweza maliza wimbi la usingle mother.Tukiamua kubadilisha tabia na misimamo yetu juu ya mahusiano yetu ya kingono yanayopelekea mimba na baadaye mtoto.
ukiwachunguza wengi wao, kiburi cha hela, kiburi kuwa ana kazi la tatu ana shep anatongozwa hovyoSasa mnafeli wapi au tamaa za nyege
Lkn siunakuja nae uko kanisani kwenye maombiAcha tu na haya makanisa ya kilokole ndiyo yanaongoza kuvunja ndoa za watu, mke wa mtu anakaa kanisani mpka saa sita za usiku et maombi
ukiwachunguza wengi wao, kiburi cha hela, kiburi kuwa ana kazi la tatu ana shep anatongozwa hovyo
ni wachache sana na kule wamejazana single mother wanawashauri ujinga mtu ili wafananeLkn siunakuja nae uko kanisani kwenye maombi
Hivi yule dada alisema anazeeka hamumuoi alikua ana maana chagua chaguaMara utawakuta kwenye Bar za Masaki au Oysterbay wanawinda Wazungu, wanadai Wanaume wa kiafrika hawana maana. Baada ya muda wakizeeka sasa ndio utawaonea huruma.
Chezea utamu wa de libolo weyeKuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Si tunalikuza jinsi wanavyowalea hao watoto na kila mara kuwaonyesha uncle mpya ni shida, tena single mother waliokuwa kuwa maofisini ni omba omba na ni wadangaji wazuri mno wakijiliza na machozi yao ya kinafki!Single parents wala sio tatizo hilo jambo la single parents ni tatizo mnalikuza sana .
wanasemaga hivyo akishafikisha 30-40 na wengi wao wanaviburi balaa!Baadhi hawapendi kuolewa, wanataka uhuru, anatafuta tu wa kuzaa nae.
kabisa wanawaza posho tu, na hayo madawati ya jinsia wamekuwa ni watu wakuwapiga mikwara wanaume tu badala ya kutoa ushauri,Niliona eti viongozi wa serikali wanajadili kabisa maana hali ni mbaya , mda huo wao ndio wanawapa kiburi wanawake pale ustawi wa jamii .
Walikuwa wanataka kula posho tu za vikao .
🤣🤣🤣kabisa wanawaza posho tu, na hayo madawati ya jinsia wamekuwa ni watu wakuwapiga mikwara wanaume tu badala ya kutoa ushauri,
Na ukienda dawati usiombe na huko umkute single mother aliyevurugwa
Nakumbuka bit nilichimbwa pale police nami nikawakazia walikua wapolekabisa wanawaza posho tu, na hayo madawati ya jinsia wamekuwa ni watu wakuwapiga mikwara wanaume tu badala ya kutoa ushauri,
Na ukienda dawati usiombe na huko umkute single mother aliyevurugwa