Wimbi la single mother linatisha

Wimbi la single mother linatisha

Loh!! 🤦‍♀️
Ila kuna wanawake siku hizi wanajisifia kuwa single mother sababu ya vipato vyao vikubwa na kuna mabinti wengine wanadream kuwa single mothers,hasa kuzaa tuu na wanaume wenye hela,hajali kesho yake.

Ila wote wakifika umri fulani Majuto huwaga makubwa ,hata wanaume walio telekeza watoto kwa makusudi,kuna umri ukifika akijifanyia ile self evaluation kuna Majuto anakuwa nayo,ila ndio vile wanakaza, ila ndani inawaumiza.
 
Kuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Kupata mimba ni maamuzi.. mara nyingi anakuwa ameamua, umri unaenda anaamua bora ajipatie tu mwanae..asije kuzeeka akalea mjukuu au kukosa mtoto kabisa.. Wanawake ni kama maua kuna muda ukifika yananyauka, akili inakuja yenyewe tu.. liwalo na liwe... Kumbuka Menopause nazo....
 
Wanawake tukiamua Tunaweza maliza wimbi la usingle mother.Tukiamua kubadilisha tabia na misimamo yetu juu ya mahusiano yetu ya kingono yanayopelekea mimba na baadaye mtoto.
Kweli itakuwa ni vizuri kwa manufaa ya kizazi kijacho wanawake wengi kazi zinawapa kiburi ila swala kulea kila kitu ataachiwa mfanyakazi wa ndani na hao wasichana wa kazi kutwa wanawaza ngono
 
Ukiwa na jirani single mother usimruhusu akuzoee kabisa.Single mother are harmful for your family growth
 
Mara utawakuta kwenye Bar za Masaki au Oysterbay wanawinda Wazungu, wanadai Wanaume wa kiafrika hawana maana. Baada ya muda wakizeeka sasa ndio utawaonea huruma.
Hivi yule dada alisema anazeeka hamumuoi alikua ana maana chagua chagua
 
Single parents wala sio tatizo hilo jambo la single parents ni tatizo mnalikuza sana .
Si tunalikuza jinsi wanavyowalea hao watoto na kila mara kuwaonyesha uncle mpya ni shida, tena single mother waliokuwa kuwa maofisini ni omba omba na ni wadangaji wazuri mno wakijiliza na machozi yao ya kinafki!
 
Niliona eti viongozi wa serikali wanajadili kabisa maana hali ni mbaya , mda huo wao ndio wanawapa kiburi wanawake pale ustawi wa jamii .

Walikuwa wanataka kula posho tu za vikao .
kabisa wanawaza posho tu, na hayo madawati ya jinsia wamekuwa ni watu wakuwapiga mikwara wanaume tu badala ya kutoa ushauri,
Na ukienda dawati usiombe na huko umkute single mother aliyevurugwa
 
kabisa wanawaza posho tu, na hayo madawati ya jinsia wamekuwa ni watu wakuwapiga mikwara wanaume tu badala ya kutoa ushauri,
Na ukienda dawati usiombe na huko umkute single mother aliyevurugwa
🤣🤣🤣
kabisa wanawaza posho tu, na hayo madawati ya jinsia wamekuwa ni watu wakuwapiga mikwara wanaume tu badala ya kutoa ushauri,
Na ukienda dawati usiombe na huko umkute single mother aliyevurugwa
Nakumbuka bit nilichimbwa pale police nami nikawakazia walikua wapole
 
Back
Top Bottom