welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
- Thread starter
-
- #41
Na kwa mchaga akipelekwa police na mke hiyo ndoa itajakufa tu!π€£π€£π€£
Nakumbuka bit nilichimbwa pale police nami nikawakazia walikua wapole
Hakuna aliepelekwa police na mwanamke bdoa ikawa salama binafsi mwenyew naunga mkono hoja ndoa lazima ifeNa kwa mchaga akipelekwa police na mke hiyo ndoa itajakufa tu!
yaani dawati kazi yao ni kuwaona wanaume ndiyo wakorofi ili wapige hela na mikwara yao!
Single maza ni mwanamke mjinga sana:
βKWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake
βPILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba
Single maza ni laana
katika kitengo kilicho feli jeshi la police ni dawati la jinsia! sidhani kama kuna familia wanazo zisaidia badala ya kuzifelishaHakuna aliepelekwa police na mwanamke bdoa ikawa salama binafsi mwenyew naunga mkono hoja ndoa lazima ife
Siyo wote kaka ila kuna wengine wanasababisha wenyewe, natamani haya MADAWATI YA JINSIA kabla ya kutoa maamuzi na kumuona mwanaume ndiyo mbaya wangekuwa wanafanya hata uchunguzi wa kimya kimya mitaa ambapo wanaishi wangekuwa wanapata mengi na wangeweza kuwashauri wanandoa wengi kuliko kuzivunja ndoa nyingi!Single moms ni laana
Na manabii wanawapiga hela sanaSingle moms ni laana
Hainaga mjanja- NyegeKuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Nimechekaa had baas. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mdada nimemuona ana mimba sijaamini alivyokuaga na misimamo yule karuhusu vipi mtu amwagie ndani
Umeambiwa posa ilipelekwa kwa wazazi wa binti, sasa kuolewa kupi unakozungmzia wee?Sasa huo sii ujinga wa mwanamke wee unabe aje mimba hujaolewa.
Usidanganyike kubeba mimba mpaka pale mwanaume kakuoa. Hao mama zenu wanawafundishaga ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheti cha ndoa ndio kisheria tunajua umeolewaUmeambiwa posa ilipelekwa kwa wazazi wa binti, sasa kuolewa kupi unakozungmzia wee?
Wale wapo kwa stair ya tokomeza ndoa ili wabaki wanaokula mkeoππkatika kitengo kilicho feli jeshi la police ni dawati la jinsia! sidhani kama kuna familia wanazo zisaidia badala ya kuzifelisha
na kweli ndiyo mana wengi wao wamejazana mabachelaWale wapo kwa stair ya tokomeza ndoa ili wabaki wanaokula mkeoππ
Mkuu Single Mother wengi wamezalishwa nje ya ndoa.Wanawake wangeacha mdomo single mama wangepungua.
Mdomo ndo chanzo cha wanaume wengi kutoka nduki nyumbani.
Wapo walio na ndoa Bora kabisa waume zao wakafiwa na waume zaoMkuu Single Mother wengi wamezalishwa nje ya ndoa.
Mzee Baba walikufanya nini?ππHuwa nawatetea single mothers kama binadamu wengine ila ukitafakari ni wanawake wasiopaswa kuzingatiwa kwenye jamii ya watu wastaarabu. Wengi wao walizalishwa kwa kiherehere chao cha kukimbilia mapenzi kabla ya muda. Kibaya ni kwamba wakati wakiwa mapenzini kabla ya kuzalishwa huwa hawasikilizi mtu yeyote wakiwemo wazazi zaidi ya hao wanaume zao. Wakitelekezwa ndo hutia huruma nakuanza kujigongesha kwa wanaume waliowakataa mwanzoni kwa dharau. Kinachokera na kuumiza zaidi ni kuwa single mothers wote huendelea kuwa na mapenzi na wanaume waliowazalisha kwa maisha yao yote. Ikitokea mwanaume wake anataka kurudi basi atakuacha mchana kweupe bila kujali maumivu yako. Hata hawa single mothers waliofiwa na baba watoto zao ni wapumbavu kwasababu mapenzi yao huwa kwa marehemu zaidi na watoto wake. Utakubali kuoa mtu ambaye kila mwaka husherehekea birthday ya marehemu? SAY NO TO SINGLE MOTHERS.
Mwaka 2015 nilianzisha mapenzi na single mama nikidhani atatulia ila siku moja nampigia simu kwa mshtuko mkubwa nikashangaa kapokea baba watoto wake kapokea kumbe wamerudiana. Mwaka 2022 nikakutana na single mama mwingine ambaye alifiwa na baba mtoto wake.. kikwazo kikawa ni yeye kila mara kumpost marehemu kuwa anamkumbuka sana na ndiye mpenzi wa maisha yake. Nikaona kumbe SINGLE MAMA NI WAABUDU MIZIMU PIA. Nikapiga chini. Hadi leo sitaki kabisa papuchi ya single mama.Mzee Baba walikufanya nini?ππ