Wimbi la single mother linatisha

Wimbi la single mother linatisha

🤣🤣🤣

Nakumbuka bit nilichimbwa pale police nami nikawakazia walikua wapole
Na kwa mchaga akipelekwa police na mke hiyo ndoa itajakufa tu!
yaani dawati kazi yao ni kuwaona wanaume ndiyo wakorofi ili wapige hela na mikwara yao!
 
Na kwa mchaga akipelekwa police na mke hiyo ndoa itajakufa tu!
yaani dawati kazi yao ni kuwaona wanaume ndiyo wakorofi ili wapige hela na mikwara yao!
Hakuna aliepelekwa police na mwanamke bdoa ikawa salama binafsi mwenyew naunga mkono hoja ndoa lazima ife
 
Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba

Single maza ni laana
 
Umesema vyema
 
Single moms ni laana
Siyo wote kaka ila kuna wengine wanasababisha wenyewe, natamani haya MADAWATI YA JINSIA kabla ya kutoa maamuzi na kumuona mwanaume ndiyo mbaya wangekuwa wanafanya hata uchunguzi wa kimya kimya mitaa ambapo wanaishi wangekuwa wanapata mengi na wangeweza kuwashauri wanandoa wengi kuliko kuzivunja ndoa nyingi!
 
......... kukosa amani kwa wake zaoo .......

Ingekuwa inawezakana kuwahoji wake zao nao wangesema kukosa matunzo kwa waume zaooo
 
Attachments

  • Screenshot_20240711-142719~2.png
    Screenshot_20240711-142719~2.png
    398.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240711-142719~2.png
    Screenshot_20240711-142719~2.png
    398.9 KB · Views: 5
Sasa huo sii ujinga wa mwanamke wee unabe aje mimba hujaolewa.
Usidanganyike kubeba mimba mpaka pale mwanaume kakuoa. Hao mama zenu wanawafundishaga ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeambiwa posa ilipelekwa kwa wazazi wa binti, sasa kuolewa kupi unakozungmzia wee?
 
Huwa nawatetea single mothers kama binadamu wengine ila ukitafakari ni wanawake wasiopaswa kuzingatiwa kwenye jamii ya watu wastaarabu. Wengi wao walizalishwa kwa kiherehere chao cha kukimbilia mapenzi kabla ya muda. Kibaya ni kwamba wakati wakiwa mapenzini kabla ya kuzalishwa huwa hawasikilizi mtu yeyote wakiwemo wazazi zaidi ya hao wanaume zao. Wakitelekezwa ndo hutia huruma nakuanza kujigongesha kwa wanaume waliowakataa mwanzoni kwa dharau. Kinachokera na kuumiza zaidi ni kuwa single mothers wote huendelea kuwa na mapenzi na wanaume waliowazalisha kwa maisha yao yote. Ikitokea mwanaume wake anataka kurudi basi atakuacha mchana kweupe bila kujali maumivu yako. Hata hawa single mothers waliofiwa na baba watoto zao ni wapumbavu kwasababu mapenzi yao huwa kwa marehemu zaidi na watoto wake. Utakubali kuoa mtu ambaye kila mwaka husherehekea birthday ya marehemu? SAY NO TO SINGLE MOTHERS.
 
Mzee Baba walikufanya nini?😆😆
 
Mzee Baba walikufanya nini?😆😆
Mwaka 2015 nilianzisha mapenzi na single mama nikidhani atatulia ila siku moja nampigia simu kwa mshtuko mkubwa nikashangaa kapokea baba watoto wake kapokea kumbe wamerudiana. Mwaka 2022 nikakutana na single mama mwingine ambaye alifiwa na baba mtoto wake.. kikwazo kikawa ni yeye kila mara kumpost marehemu kuwa anamkumbuka sana na ndiye mpenzi wa maisha yake. Nikaona kumbe SINGLE MAMA NI WAABUDU MIZIMU PIA. Nikapiga chini. Hadi leo sitaki kabisa papuchi ya single mama.
 
Back
Top Bottom