Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha.
Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanaosababisha madhara ya kiusalama. Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi.