Ndugu Una akili Sana. Daah! Genius and Critical Thinker👊Hafai kuwa waziri Mkuu ,kwani hao majambazi sio watanzania sasa wakishiriki inakuwaje hapo?
How!? Kushiriki kuna maana pana sana!Pia ameeleza, mara kadhaa Watanzania wameombwa kushiriki kwenye ulinzi wa Nchi
Mkuu wa wilaya za ilala , temeke na kinondoni WATEULIWE kutoka JWTZ. Na wakati huo huo, wilaya za kipolisi za ilala, temeke na kinondoni zifutwe.pia ufungaji wa CCTV camera jiji la Dsm uzingatiwe.Kama jeshi la polisi pamoja na intelejensia yake licha ya kuwa na silaha za kivita na mbinu za mapambano, lakini bado linapata changamoto kubwa katika kukabiliana na tatizo la ujambazi, basi IGP mpya ateuliwe toka Jeshi la Wananchi ili kutoa msaada wa kimkakati unao stahili kufanyika.
Mlinzi ni yesu pekeeeNi vizuri kuwa na silaha yeyote hata ya kutishia unaposhiriki ulinzi.
Basi mwendazake ndio alikuwa anatulinda na hayupo sasa jilinde.Kipindi cha Magufuli mbona hatukuwa tunalinda na maisha yalikuwa powa?
Leonard Chamrihohivi waziri wa ulinzi anaitwa nani?
Duuh, kwa hiyo ana wizara mbili na ile ya ujenzi mkuu?Leonard Chamriho
Kama jeshi la polisi pamoja na intelejensia yake licha ya kuwa na silaha za kivita na mbinu za mapambano, lakini bado linapata changamoto kubwa katika kukabiliana na tatizo la ujambazi, basi IGP mpya ateuliwe toka Jeshi la Wananchi ili kutoa msaada wa kimkakati unao stahili kufanyika.
Elias Kwandikwa mkuuhivi waziri wa ulinzi anaitwa nani?
Mbona Magereza kapelekwa mwanajeshi?Acheni mihemko kama hii.IGP huyu amejitahidi sana nadhani kuliko wote waliowahi kuwepo hapo nyuma.
Mwanajeshi umpeleke afanye kazi ya upolisi?Hujui hizi ni taaluma?