Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Tuliposema simba pananuka umaskini muwe mnaelewa.
Yule striker hatari kutoka vipers fc Cesar manzoki ambaye simba walikuwa wanamfukuzia ameamua kuwapiga chini na kurudi uganda ..
Taarifa zinadai alikuja mpaka bongo ila viongozi wa simba wakampa hela ya mboga ambayo ni sawa na dharau kwa mchezaji huyo,
Akawatupia karatasi usoni huyo akaamsha zake..
Je ukubwa wa simba wanaojinasibu uko wapi ikiwa wanashindwa kuchukua mchezaji hata hapo Uganda??
Nahitimisha yanga kuchukue ubingwa tena