Wimbi la umaskini likiendelea kuwatesa Simba, Manzoki awapiga chini

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Tuliposema simba pananuka umaskini muwe mnaelewa.

Yule striker hatari kutoka vipers fc Cesar manzoki ambaye simba walikuwa wanamfukuzia ameamua kuwapiga chini na kurudi uganda ..

Taarifa zinadai alikuja mpaka bongo ila viongozi wa simba wakampa hela ya mboga ambayo ni sawa na dharau kwa mchezaji huyo,

Akawatupia karatasi usoni huyo akaamsha zake..

Je ukubwa wa simba wanaojinasibu uko wapi ikiwa wanashindwa kuchukua mchezaji hata hapo Uganda??

Nahitimisha yanga kuchukue ubingwa tena
 
Umeandika nini wewe utopolo
 
Ko kila mchezaji akihitajika simba unataka asajiliwe kwa amount kubwa anayotaka yeye??
 
"Taarifa zinasema"

Hizo taarifa umeziokotea wapi?
 
Manzoki awapiga chini nyenye nyenye[emoji116][emoji116] akili yako imejaa matapu tapu
20220627_022419.jpg
 
Tuliposema simba pananuka umaskini muwe mnaelewa.

Yule striker hatari kutoka vipers fc Cesar manzoki ambaye simba walikuwa wanamfukuzia ameamua kuwapiga chini na kurudi uganda ..

Taarifa zinadai alikuja mpaka bongo ila viongozi wa simba wakampa hela ya mboga ambayo ni sawa na dharau kwa mchezaji huyo,

Akawatupia karatasi usoni huyo akaamsha zake..

Je ukubwa wa simba wanaojinasibu uko wapi ikiwa wanashindwa kuchukua mchezaji hata hapo Uganda??

Nahitimisha yanga kuchukue ubingwa tena
Umeandika ukiwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu
 
Tuliposema simba pananuka umaskini muwe mnaelewa.

Yule striker hatari kutoka vipers fc Cesar manzoki ambaye simba walikuwa wanamfukuzia ameamua kuwapiga chini na kurudi uganda ..

Taarifa zinadai alikuja mpaka bongo ila viongozi wa simba wakampa hela ya mboga ambayo ni sawa na dharau kwa mchezaji huyo,

Akawatupia karatasi usoni huyo akaamsha zake..

Je ukubwa wa simba wanaojinasibu uko wapi ikiwa wanashindwa kuchukua mchezaji hata hapo Uganda??

Nahitimisha yanga kuchukue ubingwa tena
Kuendelea kuishi kwa dadako kunafubaza ubongo wako wewe umeshindwa hata kupanga kachumba kamoja ujitegemee unazungumzia umaskini wa Simba. Ngoja siku shemeji yako akugeuzie kibao ndiyo utatia akili
 
Na yule andunje wa kujiita sakho naye za chini chini huyooo kasepa zake
 
Back
Top Bottom