Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

Kuanzia kesho kazi inaendelea.
Safi sana...tukiunganisha nguvu huyu mzanzibari pamoja na walamba asali wake na lichama chakavu wanapumzishwa

Nguvu zifuatazo zikiunganishwa hakuna cha kutushinda:

Wamasai in particular jumlisha kanda ya kaskazini yote jumlisha wasukuma in particular jumlisha kanda ya ziwa yote jumlisha Mbeya (kwa akina wakili Mwakabusi) jumlisha watanganyika wazalendo wote jumlisha nakadhalika nakadhalika.
 
Kife kabisa.

Tena kimfie huyu chotara wa kike aliyekosa uchungu kwa rasilimali za Tanganyika, ili akumbukwe kwenye historia daima kuwa chama chakavu kiliangushwa na wananchi katika utawala wake.
Duh
 
Kwani nani aliwaambia ccm wanategemea wapiga kura ? Ndio wanahitaji wapiga kura lakini sio lazima
 
Police wapo kwa ajili ya chama, hivyo CCM ipo imara chini ya vyombo vya dola
 
Wenye chama chao watajitokeza punde
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom