Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

Wimbi la urejeshaji kadi Za CCM lapamba moto!!

Safi sana...tukiunganisha nguvu huyu mzanzibari pamoja na walamba asali wake na lichama chakavu wanapumzishwa

Nguvu zifuatazo zikiunganishwa hakuna cha kutushinda:

Wamasai in particular jumlisha kanda ya kaskazini yote jumlisha wasukuma in particular jumlisha kanda ya ziwa yote jumlisha Mbeya (kwa akina wakili Mwakabusi) jumlisha watanganyika wazalendo wote jumlisha nakadhalika nakadhalika.

Hapo ndio mnapokosea mkieka ukanda mnaleta mgawanyiko hata sie tukiwa tumekichoka chama tunashindwa kuungana nanyi maana tunaona kuna ubaguzi
Jaribu kuacha ubaguzi mkuu
 
.
IMG-20230909-WA0000.jpg
 
Hii trend iendelezwe Watanzania wote kwa maelfu waikatae CCM.

Leo nimeusoma ujumbe wa Balozi wa Marekani inawatia wananchi faraja sana.
 
Kife kabisa.

Tena kimfie huyu chotara wa kike aliyekosa uchungu kwa rasilimali za Tanganyika, ili akumbukwe kwenye historia daima kuwa chama chakavu kiliangushwa na wananchi katika utawala wake.
Enzi Za JK Kilitaka Kumfia Akambana Mno Ikawa Chupu Chupu
Tunasema Ilikuwa Maiti Ikazikwe Na Muoshaji, Akaweza
ila Akasimulia Hadharani Jasho Lilimtoka




Naona Mama Abdul Sasa Analamba Galasa, Chama Hicho Kinamponyoka Anakiona
Kadi Zarudishwa Na Watu Wanatazama Kife Kibudu Ijulikane Moja
Haa Unaijua V8 Wewe? Ndiyo Tunatumia Sisi
 
Acheni uzushi, CCM sasaivi iko strong kuliko wakati wowote ule
 
Numbers hazidanganyi, ccm imeongeza wanachama wengi mno tokea Samia aingie. Hizo kadi zinazorudishwa ni maigizo ya wanachadema
Kwahiyo alimtumbua mtu kwa maigizo ya Chadema?
 
Hapa sio kuikataa ccm kama chama haitasaidia chochote hapa ni kuwakataa wanaccm wote na kuwatenga kwa kila namna
 
CCM bila polisi, tume ya uchaguzi na wasimamizi wa chaguzi ni wepesi mno.
katika makundi yote uliyoyataja hapo, la kijinga zaidi ni Mapolisi, maana maisha yao tunayajua jinsi yalivyo ya dhiki. wanatumika kijinga sana!!!!
 
Hata mimi nitarudisha kadi yao maana hata siwaelewi.
 
Back
Top Bottom