peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kazi iendeleeKuanzia kesho kazi inaendelea.
Bali?Uchaguz pekee hautaitoa ccm madarakan...
Hujapigia Mstari.......! Facts Kama hizi huwa zinapigiwa mstari...Chama Kinakufa
Safi sana...tukiunganisha nguvu huyu mzanzibari pamoja na walamba asali wake na lichama chakavu wanapumzishwaKuanzia kesho kazi inaendelea.
Kife kabisa.Chama Kinakufa
Natamani hili litokee nchi nzima, . Majizi yakome kabisaKuanzia kesho kazi inaendelea.
DuhKife kabisa.
Tena kimfie huyu chotara wa kike aliyekosa uchungu kwa rasilimali za Tanganyika, ili akumbukwe kwenye historia daima kuwa chama chakavu kiliangushwa na wananchi katika utawala wake.