Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za jioni ni nzuri tatizo ni changamoto za maisha na majukumuHabari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
Ugumu wa maisha, matumizi ya mihadarati, ulevi kupitiliza na kamaliHabari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
HA!HA!HANimeon kama vijana watano hivi Akili zimeruka kabisa
Basi ugumu wa maishaYaani kuna ambao hawatumii mihadarati lakini ndio
Mitindo wao wa maisha ni upi?Nimeon kama vijana watano hivi Akili zimeruka kabisa
Ugumu wa MAISHA.... Tazama Machizi wengi Dar ni Wanaume.
1.Kila siku wanapokea matatizo ya Familia, wayatatue na pesa hawana Mwishoe wanaanza kuongea Barabarani( Uchizi)
2. Lawama za Familia, wanawake walio Wengi wanalalamika wanataka kuhudumiwa, na mwanaume pesa Hana lazima Ata Data Tu.
3.Mfumo wa kimaisha hauna usawa kwa Mwanaume Kila Kitu kipo kwa mwanume kukipambania, sasa usipokua makini na kukubaliana na Muundo wa Maisha ndo unapomkuta mtu Fail zimepandana anakua Chizi ameshindwa kuhimili anayoletewa.
4.Kingine hata kama unaumwa hoi kumbuka Familia, haitambui kuumwa kwako wao wanataka mahitaji yao tu, hilo swala la kuumwa utalijua wewe,
Ukifika asubuhi mke anataka Pesa ya Matumizi lazima Ufe mapema.
5.Mwanaume Hana pakupunguzia mawazo, ndomana vichwa vinapata shida ya
Hapo lazima Dish liyumbe tuuUgumu wa MAISHA.... Tazama Machizi wengi Dar ni Wanaume.
1.Kila siku wanapokea matatizo ya Familia, wayatatue na pesa hawana Mwishoe wanaanza kuongea Barabarani( Uchizi)
2. Lawama za Familia, wanawake walio Wengi wanalalamika wanataka kuhudumiwa, na mwanaume pesa Hana lazima Ata Data Tu.
3.Mfumo wa kimaisha hauna usawa kwa Mwanaume Kila Kitu kipo kwa mwanume kukipambania, sasa usipokua makini na kukubaliana na Muundo wa Maisha ndo unapomkuta mtu Fail zimepandana anakua Chizi ameshindwa kuhimili anayoletewa.
4.Kingine hata kama unaumwa hoi kumbuka Familia, haitambui kuumwa kwako wao wanataka mahitaji yao tu, hilo swala la kuumwa utalijua wewe,
Ukifika asubuhi mke anataka Pesa ya Matumizi lazima Ufe mapema.
5.Mwanaume Hana pakupunguzia mawazo, ndomana vichwa vinapata shida ya Uchizi.
Siku hizi vichaa wengi sababu ni UGUMU WA MAISHAHabari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
Afya ya akili ni pamoja na kufikiri, kuwaza, kuamua, kusema na kutenda mambo ambayo yanakuathiri wewe mwenyewe...Habari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
Social media zimechangia pakubwa.!Habari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
Sasa kama yule jamaa anasema anampa Mke 5 Million kila week duuhSocial media zimechangia pakubwa.!
Kuna baadhi Wana ujasiri wa kupost na kujipiga picha mostly doctored (edited) wakijionesha wamebeba mabulungutu ya hela, wako mbel6ya ma Mansions na ma super car, Sasa Kwa wenzangu na mie tunaopambania ajira rasmi ili kuokoa familia na ukoo tunapata frustrations kwamba timefeli maisha na wenzetu wametoboa na "wanawaringishia hadi wazazi wetu waliojinyima na kutulipia ada kwamba wao wametusua na Sisi bado tuko HOHEHAHE" Sasa hayo masimango,LAZIMA Msongo wa mawazo utembee na wewe, ili kupoteza mawazo unageukia ulevi wa pombe kali kupitiliza, uraibu wa kamali kwa ndoto za kutusua OVERNIGHT, Na tabia ZOTE za hovyo,AKL THESE COMBINED, Hauwezi kubaki salama.
SOMETHING NEED TO BE DONE.
Ni rahisi sana labda kama hao watu sio watu wa karibuKujua Mtindo wa maisha ni ngumu sababu kuna mengi nyuma ndio maana nimeuliza hapa