Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hakuna jambo kama hilo.. kwa mujibu wa mleta mada kwa umri kama hujafanikiwa lazima uwe na mawazo.Ukosefu wa msaada wa kitaalamu (ushauri wa kisaikolojia).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jambo kama hilo.. kwa mujibu wa mleta mada kwa umri kama hujafanikiwa lazima uwe na mawazo.Ukosefu wa msaada wa kitaalamu (ushauri wa kisaikolojia).
Life tight!..Habari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
Kwani wewe upo timamu kiakili? Hakuna kijana wa 35 na kuendelea vijana huanzia miaka 18 mpaka 34.Habari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
Unaweza leta uzi alafu mtu akaanza kukushambulia na matusi mengi bila hata sababu ya msingiSijajua mpaka sasa kama kuna members wapo humu JF na wazazi wao hasa mama zao. Unakuta watu wamepishana hoja basi anatukanwa mama yake mtu. Unawaza huyu mama yake yupo humu?
Why mgombane ninyi then umtukane mama yake mgomvi wako? Tatizo la afya ya akili. Yaani kuna watu wana msongo wa mawazo mpaka wanachukia mama zao na kuwachukia mama wa wenzao kwa kuwazaa wao. Unashangaa why hali hii? Ni mateso ya kiakili wanayokuwa nayo yanayowapelekea kuwa na msongo wa mawazo na chuki kwa wazazi wa wenzao.
Mtu anaibuka tu na kuanza kukuporomeshea matusi wewe na wazazi wako kana kwamba anakuja lazima umshangae haina uhusiano na kuwa au kutokua seriousBinafsi nakubali kuna tatizo kubwa la afya ya akili nchini, Ila kitendo cha kuchukulia maoni ya JF serious naona pia ni kama dalili za matatizo ya afya ya akili.
Ni kweli. Wana matatizo ,chuki na hasira utashangaa tu mtu anakuwa na hasira na matusi bila sababu. Ndo unagundua afya yake haipo sawa kiakili.Unaweza leta uzi alafu mtu akaanza kukushambulia na matusi mengi bila hata sababu ya msingi
Ukweli ni kwamba watanzania wengi hawana furaha
Bila any interaction?Mtu anaibuka tu na kuanza kukuporomeshea matusi wewe na wazazi wako kana kwamba anakuja lazima umshangae haina uhusiano na kuwa au kutokua serious