Wimbi la vitabu vya kijasusi

..wiki mbili hizi naona kuna VITABU vya kijajusi vimezinduliwa au vitaingizwa DUKANI,binafsi napenda kusoma vitabu hivi,ila najiuliza watu hawa wanaotoa vitabu hivi wanauelewa mkubwa juu ya hayo mambo?
Inaonyesha hivo vitabu vizuri sana vipi kwa watu ambao tupo mikoani tunaweza kuvipata vipi na bei yake inakuwa sh. Ngapi
 
Wiki mbili hizi naona kuna VITABU vya kijajusi vimezinduliwa au vitaingizwa DUKANI,binafsi napenda kusoma vitabu hivi,ila najiuliza watu hawa wanaotoa vitabu hivi wanauelewa mkubwa juu ya hayo mambo?
Hmm!...
 
Haha inabidi hao jamaa walio andika hivyo vitabu wangekutafuta uwasaidie kudesign cover ya vitabu vyao ,
Hii design yako inavutia ,kingekua kitabu basi ningeshawishika kununua hiki chako

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‰
 
Hapana mkuu mimi sio balaa, ni mkusanyo wa yale niliyoyafanyia utafiti na yale niliyoyasoma katika vitabu vya wajuvu na machapisho yahusuyo ujasusi

Mkubwa,
Naona jina lako Yeriko Nyerere, basi tupatie summary review kidogo kama inavyoonekana ktk cover ya nyuma ya kitabu pamoja na publisher ni nani Mkuki na Nyota etc. Pia mwandishi mwingine Evarist Chahali angefanya hivyo hivyo ili kutambulisha waandishi wa riwaya wa ki-Tanzania.

Hii itakufanya utambulike nje ya mipaka ya Tanzania na huwezi jua Amazon na wengine wakajiunga kukupigia debe au hata kutafsiri tungo zako kwa lugha zingine za kimataifa.
 
Nashukuru mkuu, nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…