Hapana mkuu mimi sio balaa, ni mkusanyo wa yale niliyoyafanyia utafiti na yale niliyoyasoma katika vitabu vya wajuvu na machapisho yahusuyo ujasusi
Hongera Mkuu kwa kuandika kitabu, sijajua ndani kina nini but i tell one thing
Wazungu wanasema "Dont judge the book by its Cover" but my friend it does.. cover linabeba ubora wa kitabu kwa asilimia nyingi...
kwa nini nimekwambia hivyo.
cover la kitabu chako haliendani
kabisa na context ya kitabu (ukitazama title) vitabu vya kiintelijensia kuna namna cover zake zinakua.. mf. angalia macover ya hao watu wawili hapo ( kwenye hii thread)
Mapungufu ya cover lako:
- Lina rangi nyingi sana
- Urembo urembo umezidi (Intelijensia na urembo wapi na wapi)
- Picha nazo ni nyingi, mpaka na ramani umeweka
-Liko wazi sana, kila kitu kwenye cover kinaonekana wazi (Sijui nielezee vipi hili). Mambo ya Kiintelijensia huwa hayanaga uwazi (yamejificha ficha) so hata cover lako linapaswa liwe lina reflect hvyo.. ona la hao jamaa hapo picha zao ni za vivuli vivuli, watu hawaonekani moja kwa moja.
kwa kuliangalia cover lako na hilo jingine hapo watu watanunua hicho kitabu kingine
ni hayo tu mkuu