Wimbi la vitabu vya kijasusi

Ww magwepande panakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu chake kinapata vumbi Amazon

Best Sellers Rank 5928993
In case kama umesahau au ulikuwa hujui, Mshindi wa Tuzo 3 za Mwandishi Bora wa Vitabu Barani AFRIKA kwa miaka miwili mfululizo (back to back) Tuzo ya Zambia 2023, Tuzo ya Afrika Kusini 2024 na Tuzo ya Nigeria 2024 ni YERICKO YOHANESY NYERERE kutoka TANZANIA.

Sifa na heshima ni za Watanzania!

Idumu Mizimu!

PATA VITABU BORA AFRIKA.

1. Kitabu cha UJASUSI kwa bei halisi ya 80,000/= tu.

Kurasa 776
Marejeo 330

2. Kitabu cha “MOSCOW: Oparesheni Ukraine” kwa bei ya 150,000/= tu

Kurasa 1,400
Sura 1-14,
Marejeo 389

Nunua kwa:

LIPA NAMBA TIGO 7489022
LIPA NAMBA VODA 5352627
TIGOPESA kawaida 0715865544

CRDB BANK AC No 0152241955000 (YERICKO YOHANESY NYERERE).

Kwa Dar ni free delivery
Nje ya Dar nauli 8,000/=



Your browser is not able to display this video.
 
Wiki mbili hizi naona kuna VITABU vya kijajusi vimezinduliwa au vitaingizwa DUKANI,binafsi napenda kusoma vitabu hivi,ila najiuliza watu hawa wanaotoa vitabu hivi wanauelewa mkubwa juu ya hayo mambo?
Kwa maoni yangu ni vizuri kuwa na mtazamo chanya na mawasilisho haya na ikiwa mtu ana mapenzi na maadiko kama hayo bila shaka atajifunza jambo hata kama aliyeandika ni darasa la saba au mwalimu wa chuo kikuu. Mtu anayeandika ni kwamba ameamua kuuweka ujinga wake wazi ili watu wengine waweze kuusoma na kupitia maoni ya namna zote (Chanya na hasi) yumkini atajifunza na kuongeza maarifa yake. Binafsi napongeza jitihada za watu kuwa waandishi wa vitabu kwani si kazi rahisi, inahitaji kujitoa hasa.
 
Hongera
Hongera Yericko, wengi wetu tutabeza jitihada na mafanikio yako kwa sababu ya wivu, chuki na kutopenda vya kwetu. You're showing the way, keep going
 
Wewe kama ni mpenzi wa hayo mambo na unavutiwa basi nunua tu, no matter authenticity yake mbona watu wananunua vitabu vya Bulicheka na kina Karumekenge....

To each his / her own....
 
Yerico Nyerere apewe heshima yake,amejaribu na ameweza.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Huyu ni tunu ya Taifa.
Mnaompinga na kumdharau leteni vitabu vyenu tuvisome.
 
Nitafanya hivyo soon
Hongera sana Mtanzania mwenzangu najivunia mafanikio Yako.
Unatuwakilisha vema sana watanzania katika fani ya uandishi wa vitabu.
Hata Wazee wetu walipokua wakipigania uhuru Kuna watu waliwaponda kua hawatakiwi kabisa kubishana na wazungu.
Lakini hatimae wazungu waliondoka na Leo tuko huru.
Mambo unayofanya ni makubwa mno kuliko umri wako.
Hongera Bro.
 
Yerico Nyerere apewe heshima yake,amejaribu na ameweza.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Huyu ni tunu ya Taifa.
Mnaompinga na kumdharau leteni vitabu vyenu tuvisome.
Sijawahi kusoma vitabu vyake na wala sijawahi kupinga talent ya mtu au kujaribu kwake ingawa kama kuna mtu msomaji na anatoa pesa yake kununua au bundle lake kuiba kazi ya mtu na anatumia muda wake kusoma basi ana kila haki ya kupinga au ku criticize kazi ya mtu.., sababu haimaanishi kama mtu hajui kuandika basi pia hajui kusoma na ukishajiweka kwamba wewe ni muandishi haupo pale kujaribu bali kutoa kazi nzuri..., kama ikiwa pumba pasi uwe tayari kupokea criticism

If you can't Stand the Heat, get out of the Kitchen...​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…