Hatari kubwaSiku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la vi binti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji dsm.
Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani uarabuni ulaya na india bila kufuata taratibu , umerejea tena baada ya serikali kupiga marufuku miaka kadhaai iliyo
Jamii ndio ilaumiwe kwanza serikali baadaeHii yaweza kuwa dalili ya uchumi mbovu and poor functioning of the government and society.
Ujinga mtupu kazi za uhamiaji sio kumuuliza mtu anaenda nchi Fulani kufanya Nini.Hiyo Ni kazi ya ubalozi wa nchi husika inayotoa visa.Ndio maana Uhamiaji huwa wagumu kutoa passport kwa watu ambao safari zao hazieleweki
Ila akienda huko bila kufuata taratibu serikali ndio inaingia gharama kuwarudisha.Ujinga mtupu kazi za uhamiaji sio kumuuliza mtu anaenda nchi Fulani kufanya Nini.Hiyo Ni kazi ya ubalozi wa nchi husika inayotoa visa.Uhamiaji wamejipachika kazi isiyokuwa ya kwao.Wao kazi yao kutoa passport hayo ya kumhoji mtu unaenda Marekani mfano kufanya Nini hiyo aachiwe balozi wa Marekani mtoa Visa
Wale waliorudishwa juzi nani aliwalipia?Mleta mada haifai kufuatilia Sana maisha ya mtu binafsi Anaenda kufanya Nini achia yeye binafsi na ubalozi unaompa Visa
Ni wajinga hamna taasisi naichukia nchi hii kama uhamiaji, unajua huyu ni mtanzania badala ya kumpa passport eti unauliza unaenda kufanya nini?Ujinga mtupu kazi za uhamiaji sio kumuuliza mtu anaenda nchi Fulani kufanya Nini.Hiyo Ni kazi ya ubalozi wa nchi husika inayotoa visa.Uhamiaji wamejipachika kazi isiyokuwa ya kwao.Wao kazi yao kutoa passport hayo ya kumhoji mtu unaenda Marekani mfano kufanya Nini hiyo aachiwe balozi wa Marekani mtoa Visa
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam.
Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga marufuku miaka kadhaa iliyopita.
Nikuulize weweWale waliorudishwa juzi nani aliwalipia?
Sio kweli ingekuwa inawarudisha bure isingwewadai warudishiwe hela na faini juu na kuwapeleka jela wakishindwa kulipaIla akienda huko bila kufuata taratibu serikali ndio inaingia gharama kuwarudisha.
Faini haifikii nauliSio kweli ingekuwa inawarudisha bure isingwewadai warudishiwe hela na faini juu na kuwapeleka jela wakishindwa kulipa
Wakitoka Karatu kuja Dar kwa shughuli hiyo hiyo ni sawa eeh?Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam.
Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga marufuku miaka kadhaa iliyopita.
Serikali ndio inaingia gharamaNikuulize wewe