Wimbi la wadada kwenda ughaibuni biashara ya ngono laibuka tena

Wimbi la wadada kwenda ughaibuni biashara ya ngono laibuka tena

Wanafanyiwa unyama lakini hawataki kubadilika ,why would they not learn from what happened 😭😭😭,
 
Yakishawakuta huko wanaanza kujuta na kutuwekea madhira yao JF tuweze kujadili, anyway mabinti wana ujasiri wa hali ya juu, haihitaji hata dakika kushawishiwa na mtu asiyemjua akamwamini na akasafiri kwenda ambako hajawahi hata kufika.
 
Hii ni specimen ambayo ni complex inadanganyika ovyo mno
 
Ulaya hakuna kazi za ndani, wazungu hawana mfumo wa kufanyiwa kazi za ndani, kama ni wa kulea mtoto hutumia au pair ambae huwa anachukuliwa kama family member. Na kupata visa ya EU sio issue ndogo, wapo very serious kwenye mambo ya human trafficking
 
Ujinga mtupu kazi za uhamiaji sio kumuuliza mtu anaenda nchi Fulani kufanya Nini.Hiyo Ni kazi ya ubalozi wa nchi husika inayotoa visa.

Uhamiaji wamejipachika kazi isiyokuwa ya kwao.Wao kazi yao kutoa passport hayo ya kumhoji mtu unaenda Marekani mfano kufanya Nini hiyo aachiwe balozi wa Marekani mtoa Visa
Uko sahihi sana
 
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam.

Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga marufuku miaka kadhaa iliyopita.
waache waende kupanga ni kuchagua
 
Tatizo kule wanateswa sana halafu mwisho wa siku wanailaumu serikali
 
Back
Top Bottom