Wimbi la Wafanyabiashara kufunga maduka yao kwa sababu ya kutofautiana na Serikali lashika kasi


Hakuna umoja wa kitaifa na majizi ya kura. Anayesababisha haya ni jiwe na approach zake mbovu katika uchumi.
 
Basi mambo kama haya, ukinzani yanavyoyashikilia bango ni hatari!
Hawaandiki mazuri wala yaliowasaidia kimaisha sababu ya Ilani ya CCM!
Wao kuandika mabaya tu kama siyo raia wa TZ!
 
Viongozi wengi wa awamu hii hawana uelewa wowote juu ya leadership, wanategemea zaidi nguvu.

Nyati, pamoja na nguvu zote, huliwa na simba ambaye ukubwa wake haufikii hata theluthi moja ya ukubwa wa nyati.

Nchi hii haiwezi kutika popote kwa kutegemea zaidi viongozi wanaotumia zaidi nguvu kuliko akili na weledi.
 
Siku hizi ukitaka kupata fremu ya kufanyia biashara hapa kariakoo hauna haja ya kumtafuta dalali tena maana mafremu yamejaa kibao.
Hahah Sio Mtaa wa Kongo wala mitaa iliyochangamka labda kule Bondeni kwa Zungu.

Kilemba kinachezea 20M-45 M
 
Mmmmmmhmn ndugu..... Yaani unasema simba hamfikii nyati hata kwa theluthi?!
 
Kama mnadhani mna akili kushinda aliyewaumba maoni yetu mtayapokea ?
 
Basi mambo kama haya, ukinzani yanavyoyashikilia bango ni hatari!
Hawaandiki mazuri wala yaliowasaidia kimaisha sababu ya Ilani ya CCM!
Wao kuandika mabaya tu kama siyo raia wa TZ!
Mazuri ndio haya ya kuvunja halmashauri ya Jiji la DSM ?
 
Watu kusema ukweli wa machungu wanayokutana nayo kwenye biashara zao unaita "mbinu" panueni bongo zenu mjue namna ya kumkwamua mtanzania toka kwenye hali ngumu aliyonayo, acheni utani, kama hilo limewashinda ondokeni ikulu.
Uchumi usimame hamuoni fly ova na mibarabara ya nguvu

NDUKIIIIIIIII

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…