Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kila mara nikimaliza kuuza kangala na kupiga soga na walimu ambao ni wateja wangu. Ambao nao wanakasumba ya kubugia kangala huku wanapapasa matablet waliogawiwa na rais Samia huwa naenda baa kupiga lager mbili tatu.
Cha ajabu huwa nakuta wahudumu wakiwa baa na watoto mgongoni huku mziki mnene ukitwangwa.
Watoto wanaumia bado wachanga.
Cha ajabu huwa nakuta wahudumu wakiwa baa na watoto mgongoni huku mziki mnene ukitwangwa.
Watoto wanaumia bado wachanga.