hata mm akivaa harmorappa ndo nitaamin afu kapotea mzee wa kikiMpaka nimuone Harmorappa kavaa hizo lensi.
Umefunga uzi Mkuu...Hao wote wakienda choo haja kubwa huwa wanatoa vipande vya ubongo,kuna empty space ndani ya skull.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji2][emoji2][emoji2]Hao wote wakienda choo haja kubwa huwa wanatoa vipande vya ubongo,kuna empty space ndani ya skull.
Ha ha ha ha !Huo ni ulimbukeni wa kiwango cha standard gauge
Editing haijawahi muacha Ebitoke salama, hao washamba wanaiga wazungu hawajui wenzao kila baada ya muda wanaenda kwa Dr wa macho kwa ajili ya uchunguzi. Hizi mboni sio salama kabisa kwa watumiaji baada kipnd flani tutakua na vipofu wengi katika nchi yetu. Poor them!!
These fellas are doing for bizness... Wabongo wanafanyA for beauty... How unfortunate are we!!??Si ushamba wee ndyo mshama
Inferiority complex ni ugonjwa mbaya sana.Yaani watu wetu maarufu wasipofanya jambo au mambo yanayofanywa na mastar Wa marekani basi hawajakamilika.
Star Wa kiume hajakamilika pasipo kuvaa hereni
Star Wa kike hajakamilika pasipo kutuvalia uchi uchi.
Na ndio maana bongo muvi imekufa.....Inferiority complex ni ugonjwa mbaya sana.
Wamekuwa kama ile midoli ya kwenye Maduka ya nguo