Wimbi la wasanii kuvaa lens za macho ya Paka, nini maana yake?

Wimbi la wasanii kuvaa lens za macho ya Paka, nini maana yake?

Hao mpaka uchenjue ndio utajua nani kapendeza
 
Kati ya hao hapo juu na huyu .... Whos looking prettier..!!?

IMG_20170628_203616_465.jpg
 
Kati ya hao hapo juu na huyu .... Whos looking prettier..!!?

View attachment 532172
Editing haijawahi muacha Ebitoke salama, hao washamba wanaiga wazungu hawajui wenzao kila baada ya muda wanaenda kwa Dr wa macho kwa ajili ya uchunguzi. Hizi mboni sio salama kabisa kwa watumiaji baada kipnd flani tutakua na vipofu wengi katika nchi yetu. Poor them!!
 
Yaani watu wetu maarufu wasipofanya jambo au mambo yanayofanywa na mastar Wa marekani basi hawajakamilika.

Star Wa kiume hajakamilika pasipo kuvaa hereni
Star Wa kike hajakamilika pasipo kutuvalia uchi uchi.
Inferiority complex ni ugonjwa mbaya sana.
 
Iyo midemu fekelo balaa sijui kwao kitugani kilichobaki natural zaidi ya pumzi yanachefuaa sana nani awaoe mnafeki mpaka mbunye zinavimba mashavu.
 
Back
Top Bottom