Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Yanawekwaje sasa embu ntoe ushamba mimi wa kwa mtogoleContact lenses zinabadilisha muonekano wa macho.(cat eye contact lens)
Yanawekwaje sasa embu ntoe ushamba mimi wa kwa mtogole
Asante. Loh
Mkuu mbona kiwango chako kinaanza kushuka?Ulimbukeni wa kiwango cha makinikia
Hamna tatizo lolote, hakijaharibika kituMkuu mbona kiwango chako kinaanza kushuka?
Umeanza kuchelewa ku-comment kwenye thread mpya[emoji23]
Huyu ndio anaelewa, mambo yameshatungwa hollywood huko yanakoishi majini, kwani unafikiri majini macho yao ya kimnyama mnyama kama chui na simba huw Wanaonekanaje,Satan company.
Upo kaka??Eti shem, Macho ya nyau yanavaliwaje ??
Nipo meku nanyemelea vi lawyers vya JFUpo kaka??
Hahahhhhahhahh..
Mbn mm nliumbwa ivo na nlikuwa nkijickia vby wezangu wakinitania