Wimbi la wasanii kuvaa lens za macho ya Paka, nini maana yake?

Wimbi la wasanii kuvaa lens za macho ya Paka, nini maana yake?

Hizo ni contact lenses, zipo zinazovaliwa kwa ajili ya urembo na nyingine kwa ajili ya kumsaidia mtu mwenye matatizo ya macho aone vizuri

Sio wote wanavaa kwa ajili ya urembo, tusije tukadharauliana.
 
Satan company.
Huyu ndio anaelewa, mambo yameshatungwa hollywood huko yanakoishi majini, kwani unafikiri majini macho yao ya kimnyama mnyama kama chui na simba huw Wanaonekanaje,
Hao washakuwa initiated sasa wamenogewa na muonekano wa baba zao,
 
Colonized mind. Wasanii walio wengi consciousness ipo chini bado, lakini ndiyo role model wa watoto wetu, wadogo zetu. Wanaukana Uafrika mchana kweupe. Japo Afrika tuna matatizo yetu lakini I'm proud to be African. Hao wanaotaka kuwa kama Wazungu, hawajiulizi kwa nini watalii wakija huku huwa wapo tayari kuzaa hata Mwafrika yeyote atakayemwamini? Hii ngozi Wazungu wanaitamani sana kwa sababu ina asili ya kusurvive kwenye mazingira magumu.
 
Wema kapendeza........

Gigi sijui Gogo hakuna kinachompendezaga labda midole ya msandroooooo
 
Kumbe macho ya paka imekuwa swaga. Dah! Kuna demu wangu wa Kisambaa alikuwa mweupe sana na anamacho kama paka, aisee ngoja nimrudie...
 
To answer the question you asked...
A: Lulu kapendeza
C: Katisha avue na asivae tena hizo lens
 
Uuuuiiii mboni yangu mimiiii,.kuna watu mashujaa jicho la kulifanyia madoido kweli? Urembo huu bado una trend kumbee looh
 
Back
Top Bottom