kaisar19
JF-Expert Member
- May 24, 2021
- 274
- 488
Nina imani sote humu tuko njema.
Niende direct, kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wenye umri kati ya 7-14 wamezagaa sana mitaani mkoani Kigoma hasa Kigoma Mjini
Hii nadhani ni tatizo kubwa linahitaji dawa, vijana hawa umri wao ni wa kuwa shuleni lakini muda wote wapo mitaani, stand za mabasi, kwenye vijiwe vya kahawa, na masokoni
Mkurugezi wa halmashauri chukua hatua Tafadhali