Wakianza Ujasiriamali wakiwa wadogo, nongwa
Hatahivyo hilo suala linaonyesha uhuru waliokuwa nao Watanzania, ni uhuru wa kweli na sio ule uhuru wa kubwabwaja tu, bali uhuru kutoka Serikalini.
Serikali ijikite kwenye kuwalinda vijana hao wakiwa mitaani, ni kwamba, serikali hawana business yeyote ya kuwaambia Wananchi/Wazazi jinsi ya kuwakuza Watoto zao.
======
Historia inaonyesha na kusema, mawazo na fikra kama hizi ni za kikoloni zilizoletwa na Wazungu kudhibiti Vijana wa Kiafrila kudai uhuru wao.