Wimbi la Watu kwenda kusoma Ulaya na Maendeleo ya Vyuo Vikuu Nchini

Have Fun

Member
Joined
Aug 24, 2024
Posts
92
Reaction score
159
Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA

Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la Kwanza hadi Uprofessa..

Yakikukuta haya Utakuwa Mgonjwa milele "Hata Mimi nataka Kuwa Mtumwa karne hii ya 21"

Orodha na maendeleo ya Vyuo vikuu Tanzania.. Alienda ulaya ili iweje!? Atuletee wazungu au

Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania.

Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)

Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)

Chuo Kikuu cha Bukoba

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)

Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)

Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU)

Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)

Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)

Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)

Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)

Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)

Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)

Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)

Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)

Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)

Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Moravian Theological College

Pia soma:DOKEZO - Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada
 
Nimeagiza Hii, "Kusafisha Mitaa ya Jiji" kule Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono

Kweli "Nchi Haiwezi kufanikiwa ikifanya Mambo yake pekeyake"

1724619890686.png
 
Tatizo la Hapa bongo ni mazingira ya usomaji.Utakuta vyooni kuchafu nadhani kwa hili ni ustaarabu mdogo kwetu sisi wa TZ.pia miundombinu(miundo mtindo) yaani unaenda maktaba vitabu havitoshelezi usimamizi mbovu.

Pia hata mfumo wa loan board ni mbovusana.mfano yatima kuipata mkopo mdogo kuliko mtu mwenye wazazi wote nk nk
 
Kuna jamaa anaitwa Stephen Masele kasoma mpaka Harvard huko na vyuo vingine bora kabisaa duniani lakini alivyokua mbunge sikuona impact yeyote.

Wanao sukuma nchi ni watu wasio na elimu kubwa mkuu niamini mimi maisha yamebadirika

Hao wasomi ni wapangaji wa kwenye nyumba za wasio soma

Gesti zote, mshotel majumba n.k asilimia kubwa wamiliki ni watu wenye elimu za kawaida sio wasomi walofika ulaya.
 
Huo ndio uhalisia wa maisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni bora watoto wangu baadae wakasome vyuo vya nje why.
Akili inapanuka na kupata manufaa mbalimbali hii nikwasababu anakutana na watu wengi kutoka nchi mbali mbali .

Elimu inayotolewa ni nzuri naubora upo, vifaa vipo na wanauwezo wakukutafutia ajira ukaendelea kupata mafanikio.
Elimu inayotolewa unakuwa tofauti na wenzako ,kimaisha , kimienendo hata tabia yako hubadilika unaenda kwa muda, unaishi kimaendeleo ndio maana asilimia kubwa wazungu wanatupita tunaishia kuajiriwa nao nakupelekeshwa .
Kwa sasa nchi hii inamaendeleo makubwa sio wote wamefanikiwa ila wengi wao wamejua kuishi kisasa so elimu bora kwa wanawawe ni nje ya nchi either kapewa full scolarship au analipiwa na mzazi .

Utaratibu huu mtu anakuwa tofauti na anaweza kuishi popote, vyuo vingi ukimaliza hapa kama huna mtu akupiganie upate kazi unakufa na njaa ila huko njee sio hivyoo bidii yako inakupa maisha bora .

So haina haja yakusoma hapa na faida hakuna na unaweza kupata maisha mazuri njee tena kwa maksi zako.

Huwaoni wazungu wakiomba kazi mahali wanapata kwasababu wanafundishwa kujibu maswali, kuongea ,nakuandika CV.
Tofauti na huku hata wawe naakili gani hawafikii wazungu hata wa nje .
Mf. Wakenya wametawala huku sana wao ndio mameneja wamasehemu mbalimbali, wa south afrika, uganda na sehemu nyingi tu za afrika kwa maana wanavyofundishwa nitofauti . Na huku.

Jingine zamani wazazi wenye uwezo huwapeleka watoto wao wakasome uganda kuanzia primary hadi secondary na baada ya hapo chuo kikuu wanaenda nje. So usidanganye watu wakapoteze muda wao wamaisha.
 
Hii ni hoja dhaifu sana. Ukichukua vijana 1000 graduates na vijana 1000 walioishia std 7 au form 4 kwenye ubora wa maisha yao ya kawaida who is better? Hauwezi kuchukua few cases za watu kama akina mzee Bakhressa ndiyo ufanye generalization. Nilikuwa nafuatilia mjadala mkali Tv ya Kenya KBC usiku huu kati ya Rais Rutto na wanafunzi wa vyuo vikuu vya kenya wakijadili hoja ya mfumo mpya wa mikopo kwa Elimu ya juu. Kiukweli hawa vijana wako vizuri mnoo na wanajua wanachoongea na kukiongea mbele ya rais wao. Elimu ni very very important kwa jamii.
 
Attachments

  • IMG_20240825_211024_754.jpg
    IMG_20240825_211024_754.jpg
    4.1 MB · Views: 7
  • IMG_20240825_210942_997.jpg
    IMG_20240825_210942_997.jpg
    3.3 MB · Views: 5
Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA

Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la Kwanza hadi Uprofessa..

Yakikukuta haya Utakuwa Mgonjwa milele "Hata Mimi nataka Kuwa Mtumwa karne hii ya 21"

Orodha na maendeleo ya Vyuo vikuu Tanzania.. Alienda ulaya ili iweje!? Atuletee wazungu au

Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania.

Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)

Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)

Chuo Kikuu cha Bukoba

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)

Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)

Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU)

Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)

Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)

Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)

Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)

Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)

Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)

Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)

Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)

Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)

Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Moravian Theological College

Pia soma:DOKEZO - Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada
Standard ya elimu ya nje ni beyond ya bongo. Kule mitaala yao ni practical approach hala iko updated na current situation ya dunia.

Wakati mitaala ya bongo so staticts, old (baadhi) na viwango si vya kuridhisha.
Angalia wasomi wetu wakivuka boda wanaenda kuwaje huko penye competition kali zaidi
 
Mtu anasoma ulaya halafu akirudi bongo anakua hana ajira anathirika kisaikolojia ulaya kama mzazi ,mtoto labda apate scholarship sio kumlipia ada aende europe au USA
 
Ni bora watoto wangu baadae wakasome vyuo vya nje why.
Akili inapanuka na kupata manufaa mbalimbali hii nikwasababu anakutana na watu wengi kutoka nchi mbali mbali .

Elimu inayotolewa ni nzuri naubora upo, vifaa vipo na wanauwezo wakukutafutia ajira ukaendelea kupata mafanikio.
Elimu inayotolewa unakuwa tofauti na wenzako ,kimaisha , kimienendo hata tabia yako hubadilika unaenda kwa muda, unaishi kimaendeleo ndio maana asilimia kubwa wazungu wanatupita tunaishia kuajiriwa nao nakupelekeshwa .
Kwa sasa nchi hii inamaendeleo makubwa sio wote wamefanikiwa ila wengi wao wamejua kuishi kisasa so elimu bora kwa wanawawe ni nje ya nchi either kapewa full scolarship au analipiwa na mzazi .

Utaratibu huu mtu anakuwa tofauti na anaweza kuishi popote, vyuo vingi ukimaliza hapa kama huna mtu akupiganie upate kazi unakufa na njaa ila huko njee sio hivyoo bidii yako inakupa maisha bora .

So haina haja yakusoma hapa na faida hakuna na unaweza kupata maisha mazuri njee tena kwa maksi zako.

Huwaoni wazungu wakiomba kazi mahali wanapata kwasababu wanafundishwa kujibu maswali, kuongea ,nakuandika CV.
Tofauti na huku hata wawe naakili gani hawafikii wazungu hata wa nje .
Mf. Wakenya wametawala huku sana wao ndio mameneja wamasehemu mbalimbali, wa south afrika, uganda na sehemu nyingi tu za afrika kwa maana wanavyofundishwa nitofauti . Na huku.

Jingine zamani wazazi wenye uwezo huwapeleka watoto wao wakasome uganda kuanzia primary hadi secondary na baada ya hapo chuo kikuu wanaenda nje. So usidanganye watu wakapoteze muda wao wamaisha.
Kwenda ulaya kusoma atadharaulika..

1724626245608.png
 
Back
Top Bottom