WIMBI: Ujauzito kwa mabinti wadogo chini ya miaka 18; nani haswa wa kulaumiwa?

Kuna clip moja nmeiona mwanafunzi wa kike under 18
Anakatika,anatingisha kalio linatikisika,show shuleni
Wapo walimu,wanafunzi hapo
Sasa kwa style hyo miuno yake kwann wasimmleeee

Ova
Ile video ni ya ug, binti umbo analo tatizo mikatiko aliijulia wapi
 
Wakati anaruhusu serikali kusomesha wazazi alikuwa anategemea nini?
Yani unatengeneza tatizo alafu unalishangaa? Ujinga mtupu
 
Ka
Kazi iendelee....
 
Kuna clip moja nmeiona mwanafunzi wa kike under 18
Anakatika,anatingisha kalio linatikisika,show shuleni
Wapo walimu,wanafunzi hapo
Sasa kwa style hyo miuno yake kwann wasimmleeee

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni vile tunaangalia mambo kijuujuu ila ki uhalisia ndivyo ilivyokuwa tangu zamani ndio maana hata kina mama wengi (hasa ambao hawakuendelea na shule ) wamekaribiana ki umri na watoto wao wa kwanza
Nini kifanyike ni kuendelea kutoa elimu yenye manufaa zaidi kwa vijana wote wa kike na kiume hasa elimu ya ufundi ambayo itawafanya wawe busy kidogo sio hii ya nadharia ambayo wengi ni kama wameanza kupoteza matumaini nayo as hawaioni huku mtaani ikiendana na maisha ya Kila siku
 
Fuatilia mzee wanafunzi wengi nilishuhudia mm wamepata mimba kipindi cha likizo fuatilia vzr
Sikatai kwa % fulani.
Lakini ukweli ni kuwa 100% inasababishwa na ukosefu wa huduma za mabweni na chakula.
Mikoani Shule ziko mbali na makazi ya watu.
Kata moja na nyingine ziko mbali sana kutembea kwa miguu kwenda kurudi nyumbani, hivyo kufanya mabinti kuingia vishawishi vya lifti za Bodaboda na kutiwa mimba.
Wanafunzi wakiume wenyewe wanakataa kabisa kwa kusema sitaki kusoma nitalima.
Kulima kwenyewe hawalimi siku hizi.

You can’t ignore the importance of boarding schools for students under this scattered geopolitical situation.
 
Sitaki kukubishia sana maana mm naamini kwenye tafiti ila Sina uhakika kama kuna significant relationship
 
Mi naona hiki kizazi kimekengeuka mpaka shetani mwenyewe anakishangaa,mama mdangaji asiyejificha Hata mbele za watoto unategemea mtoto wake atajifunza Nini?huyu mtoto naye anaenda kuambukiza ujinga wake Kwa marafiki zake.ukijichanganya tu Kwa mwanaye anapokosea umshauri Cha moto utakiona,Vitoto vidogo vimebeba mambo mazito vichwani utafikiri Vitoto vya makungwi.Mungu atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…