Tukiwa tumebakiza Siku chache kabla ya kumaliza mwaka 2014 tukutane hapa kuchagua wimbo bora uliokupendeza mwaka huu.
Nimeona tujichagulie wenyewe kwa kupiga kura zetu hapa JF kabla ya wale jamaa wa tuzo za pombe ambao tuzo zao zipo kibiashara zaidi hawajatuchakachulia na wasanii wao wanaowajua.
Fikiria vizuri kabla ya kura yako kwani kuna nyimbo nyingi zilizotoka mwaka huu..
Karibuni sana tuwatunuku wasanii wetu kwa kazi zao.
For sure bila kuoneana na kupendeleana ukweli kutoka moyoni Diamond platnumz ndiyo msanii bora wa mwaka huu coz kabeba tuzo nyingi ndani na nje ya nchi much appreciation to him!!!