Wimbo bora wa mwaka 2014 na msanii bora

Wimbo bora wa mwaka 2014 na msanii bora

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Tukiwa tumebakiza Siku chache kabla ya kumaliza mwaka 2014 tukutane hapa kuchagua wimbo bora uliokupendeza mwaka huu.
Nimeona tujichagulie wenyewe kwa kupiga kura zetu hapa JF kabla ya wale jamaa wa tuzo za pombe ambao tuzo zao zipo kibiashara zaidi hawajatuchakachulia na wasanii wao wanaowajua.
Fikiria vizuri kabla ya kura yako kwani kuna nyimbo nyingi zilizotoka mwaka huu..

Karibuni sana tuwatunuku wasanii wetu kwa kazi zao.
 
Rich Mavoko - pacha wangu.

Naupenda huu wimbo sana, zaidi ya sana.
 
baki na mimi mimi, wengine wa nini mimi, naogopa maradhi ndo mana nipo makin mimi. sijui kaimba nan!!!
 
Walala Hoi - Izzo Biznes
Ukali Wa Meno Na Kucha....Kamuulize Ulimboka.
Ahsante Jigo
 
For sure bila kuoneana na kupendeleana ukweli kutoka moyoni Diamond platnumz ndiyo msanii bora wa mwaka huu coz kabeba tuzo nyingi ndani na nje ya nchi much appreciation to him!!!
 
aah! nisharudi nyumbani, yalinifika shingoni kule utumwani sipaweziii...ya nini nitake gari wakati kibiti hiko baskel na mpunga uko tayari unanienziiii
 
Mtu wangu sambaza upendooo,nyosha mikono juu kwa upendoooo X2 - THT
 
aah! nisharudi nyumbani, yalinifika shingoni kule utumwani sipaweziii...ya nini nitake gari wakati kibiti hiko baskel na mpunga uko tayari unanienziiii

Ndio wimbo gani Mkuu?
 
Mi nauhakika Ally kiba na kitu cha mwana dsm lazma atunukiwe maana huo wimbo haujachuja tangu utoke unlike nyingine zilizovuma mwezi 1
 
#1 .mwana-Alikiba
#2 .yamoto-yamoto band
#3 .nitajuta-yamoto band

bila ushabiki.....bila unafiki ndio nyimbo zilizotikisa mwaka.

GOD IS GOOD.
 
Naona Ali Kiba,Bella na Ya moto band wanafanya vizuri.
 
Back
Top Bottom