Nilipendezwa zaidi na Verse ya afande sele na sio Daz baba kingine sijacopy jaribu kufuatilia page yangu huko Facebook natumia Ukwaju wa kitambo mara kadhaa ndio imekuwa desturi yangu ya kuandika lycris za nyimbo za zamani.Kifupi mtaalam umekopi na kupaste, sio mbaya japo uandishi hauvutii kivile..
Kwanini umechagua kuweka verse ya qfande sele na ambayo ni ya 3 na ya mwisho kwenye wimbo husika, na hujaweka vesre hata moja ya mwenye wimbo.. ulikuwa unazungumzia ngoma ya elimu dunia ama afande sele ndani ya elimu dunia..
Sio mbaya asante pia, hii ni kati ya ngoma zangu bora kavisa
Basi mkuu boresha uandishi wako..Nilipendezwa zaidi na Verse ya afande sele na sio Daz baba kingine sijacopy jaribu kufuatilia page yangu huko Facebook natumia Ukwaju wa kitambo mara kadhaa ndio imekuwa desturi yangu ya kuandika lycris za nyimbo za zamani.
Dont take it easy ndugu