Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Hahahah Kisura,
K-CI is a crackhead....mwembamba utadhani ana utapiamlo

ha!ha! Huyu bwana pamoja na crack, Mary J Blige alikuwa haelewi. K-ci alimtosa Mary J, dada allichanganyikiwa vibaya sana. Karibu apoteze music contract yake, maana she wa snot herself. K-ci messed her head really bad!...Acha mchezo bwana!

Lakini, I still love their music, hata walipokuwa Jodeci! Do you remember, "Forever My Lady"?
 
Jamani nawaomba pia muifagile miziki ya nyumbani. Mimi binafsi muziki wa mchinga generation chini ya ali Hachoki uitwao mwaka wa shida umenikaa kichwani.

Tunazifagilia sana tu, ila leo tu hazijakaa kichwani....
 
ha!ha! Huyu bwana pamoja na crack, Mary J Blige alikuwa haelewi. K-ci alimtosa Mary J, dada allichanganyikiwa vibaya sana. Karibu apoteze music contract yake, maana she wa snot herself. K-ci messed her head really bad!...Acha mchezo bwana!

Lakini, I still love their music, hata walipokuwa Jodeci! Do you remember, "Forever My Lady"?

Oh yeah...naukumbuka sana huo wimbo..(wink)
Sijui huyo bwana alimfanya nini MJB hadi kumchanganya hivyo...
 
Wimbo ulionikuna ni huu hapa na ni kwasababu nilikuwa hurted just last month ila sasa najisikia better kwa wale waliosoma story yangu ya kuomba ushauri watakumbuka na huu wimbo leo nimeusikia umekuwa kichwani sana. Angalieni Video na Lyrics yake hapa.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=WwGrfB9kX9M[/media]


Title: Gabrielle - Rise lyrics

Artist: Gabrielle


I know that it’s over
But I can’t believe we’re through
They said that time’s a healer
And I’m better without you
It’s gonna take time I know
But I’ll get over you

Chorus:
Look at my life
Look at my heart
I have seen them fall apart
Now I’m ready to rise again
Look at my hopes
Look at my dreams
I’m building bridges from these scenes
Now I’m ready to rise again

Caught up in my thinking, yeah
Like a prisoner in my mind
You pose so many questions
But the truth was hard to find
I better think twice I know
That I’ll get over you

(Chorus)

Much time has passed between us
Do you still think of me at all?
My world of broken promises
Now you won’t catch me when I fall

(Chorus)


The hottest songs from Gabrielle
 
Nyani, wot u up to bro?! captivated in Obamamania saga or..

It's wkend, don't let it get to you too much hommy,
holla..

btw, i guess you seen this one: [media]http://www.youtube.com/watch?v=4rFiaOpIHlk[/media],
these b*****es, keep yappin 'bout being single and pumpin rubbish into young girls heads, but one thing they aint tellin is the fact that soon or later wanageuka kuwa manungayembe na masambizi... and no one is into them any longer... Finally hiyoooo... lol
 
Chorus hii imenibana leo kichwani

"Shemeji usiondoke
sikiliza uwe shahidi
Zubeda hayupo nyumbani
yatapata mwaka wa tatu
sauti inapaa angani bila kujibiwa Oooh
nimekwisha katishwa tamaa na mapenzi yako ooh
mama ooh yeeh!"
 
Kisura, nawe umetowekea wapi tena?... nyimbo zimekuzidi nini? lol
 
Jamani sijui ni weekend au vipi, kwa kweli toka jana haka ka wimbo kamenikaa sana, hivi huyu brazameni kafia wapi siku hizi? hope hes not another crack head.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=KrtVDhUkao0[/media]

Wewe si umeoa? sasa nyimbo za mabachela zinakuhusu nini?
 
Duh nimejikuta naanza kusikiliza wimbo wa Kurupt Its over Now,baada ya kumpigia simu wa karibu hapokei😕.
 
Wewe si umeoa? sasa nyimbo za mabachela zinakuhusu nini?

..mkuu,

..hata kama umeoa haina maana utaacha kusikiliza nyimbo zilizo tulia kama hizo. infact hao "good girls" kila siku wanaongezeka,sasa inakuwa kaaazi kweli kuwakwepa!hata kuwatazama?!
 
Duh nimejikuta naanza kusikiliza wimbo wa Kurupt Its over Now,baada ya kumpigia simu wa karibu hapokei😕.

..hautakuwa peke yako!kama huna uhakika msikilize robbie williams..."feel"!
 
Huhitaji kuji-act kama bacholar unaweza kuongeza mke mwengine kama tayari umeoa, haina haja kutongoza wanawake kupitia katika wimbo.
 
Nasikiliza 'mambo bado'

#mambo bado mambo bado.. mambo baadoo..
#magoma motomoto Nairobi... mambo baadoo..
 
Back
Top Bottom