Special dedication kwa walikuwa wapenzi wa House Music, na bila kuwasahau Ma-DJ wetu wa zamani kama Chris Phabby, John Peter (Pantalakis), Kalikali (Marehemu), DJ Kim (marehemu),DJ Mackhope A-Town (marehemu), DJ Nigger (Ujiji) n.k
Asante sana Bab Sikonge, A-town nami nimevinjari sana na machalii enzi hizo za Boogie Disco la Cave na Na New Arusha Hotel.Sure Mkuu. Enzi hizo niko Arusha na mambo ya Cave Disco......
http://www.youtube.com/watch?v=Hkp9f_CjEL4
Bila kuwasahau; Chris Phabby na Deo Composer
Sure Mkuu. Enzi hizo niko Arusha na mambo ya Cave Disco......
http://www.youtube.com/watch?v=Hkp9f_CjEL4