Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Huyo anayeimba ni Lassa Carlito aka the man with the golden voice. Yeye pamoja na Djo Mpoy na Malage de Lugendo ndio the real 3 tenors.
As for Simaro, yeye ni no doubt th ebest composer ever in Congo
 




Special dedication kwa walikuwa wapenzi wa House Music, na bila kuwasahau Ma-DJ wetu wa zamani kama Chris Phabby, John Peter (Pantalakis), Kalikali (Marehemu), DJ Kim (marehemu),DJ Mackhope A-Town (marehemu), DJ Nigger (Ujiji) n.k
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na akina Jerry Kotto, Choggy Sly, Young Millionaire, Nigger J(masoud Masoud wa TBC fm) siku hizi hakuna tena wataalam wa enzi zetu
 
Siku Nikilala Mauti..... Yule mnyakyusa sijui anaitwa nani huko ndo alieimba huo wimbo
 
Bila kuwasahau; Chris Phabby na Deo Composer

Wakuu kuna DJ moja alikuwa anaitwa Mangapi, je kuna mtu anataarifa zake? Mara ya mwisho kumtia usono ilikuwa mwanzoni mwa 1990, mtaa wa TOGO, Kinondoni A.
 
Duh mkuu umenikumbusha Baylon Disco...... si utani. Wale wazenji walikuwa wanapiga Reggae mpaka MACHALII wanachanganyikiwa. Ninauhakika Cave Disco ni marehemu siku nyingi sana. CLOUDS hana mpinzani huko.
 
Back
Top Bottom