Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Fally Ipupa, Olivia
This is the champions' love
Olivia:

I love the way you listen to me
Is it because I fufill your everyneed ( yeah)
Take the control of my body you make me weak
I'm a show you just what to do so you can please me
Do you like it when im loving you I say your name
What a sensation has come over me its insane
Now I want you to take me to another place
Where its just you and me in this electric chaise

Fally:

Mama na ngaééé, na peli motoéééé
Mama na nga aaa, na peli moto (x2)

Olivia
: I wanna love you down
When nobody is around. I wanna . So no one can hear

Fally
: Cherie obongwami okomi lisapo ya butuuuu
Mahleur à qui par qui scandal ya elengi eko yela yé
Accompagné na ba tonnère ya sentiment, motema na ngaiééé
Territoire occupé ya plaisir , na zo lela ndé bolingooooo
Ezo sala neti ezo pesa mais neti ezo botolaaaa
Sanctifier motema na nga dans un plaisir raffinééé
Nzoto na nga ndé singa, caresses, tendresses, na elengiééé

Mama na ngaééé, na peli motoéééé
Mama na nga aaa, na peli moto (x2)

Olivia:
I got you undernearth my skin and now I can't get you off me. Its to much for me. What I am I to do (with you)
Your making me feel like your loves all I need
And now I can't do without it

Fally:

Mama na ngaééé, na peli motoéééé
Mama na nga aaa, na peli moto (x2)

Olivia:
I wanna love you down
When nobody is around. I wanna . So no one can hear
Fally:

Na préféré na ngaiii chaise electrique ya sentiment, Tshuba mbazi na viande, ekoma kamundele.
Un fouet musclé au service ya sa majesté la reine!
Na ba entrée na ba sortie . Matisa nga ma reine
Mama na ngaééé, na peli motoéééé
Mama na nga aaa, na peli moto (x2)

Fally:
Do you're feeling now baby?

Olivia:
Yes baby!!


mi ndo nimeamka nao huu
 
Daima na Milele -Marlow.....:A S-heart-2::A S-heart-2:
Marlow -Bado umenuna (ila hata sijui sababu gani)

Love you guys :lalala:
 
kuna wimbo nilikuwa nausikiliza leo unaitwa "sitopenda tena" wa Kidumu nimeusikiliza leo wakati nakuja job kwenye CD una ujumbe mzito sana ingawa haunihusu mimi hata kidogo ila nimeupenda sana mpk nimeshuka nimeingia na CD ofisini niendelee kuusikiliza jaribu kununua CD ya Kidumu uusikilize kama hujawahi kuusikia
 
QUOTE=funzadume;1035549]kuna wimbo nilikuwa nausikiliza leo unaitwa "sitopenda tena" wa Kidumu nimeusikiliza leo wakati nakuja job kwenye CD una ujumbe mzito sana ingawa haunihusu mimi hata kidogo ila nimeupenda sana mpk nimeshuka nimeingia na CD ofisini niendelee kuusikiliza jaribu kununua CD ya Kidumu uusikilize kama hujawahi kuusikia[/QUOTE]

hebu weka lyrics zake kidogo ila hiyo sitopenda tena :confused2:
 
Daima na Milele -Marlow.....:A S-heart-2::A S-heart-2:
Marlow -Bado umenuna (ila hata sijui sababu gani)

Love you guys :lalala:

Dah nasikiliza wimbo wa GLENN LEWIS unaitwa FALL AGAIN ulikuwa soundtrack kwenye movie ya MADE IN MANHATTAN it just reminds me the first time i met my girlfriend.
 
Yanini Malumbano, ya nini maneno? Najiweka pembeni naepusha msongamano,
Bora nituliee nipate wangu na mie, mola anijalie haya yasijirudie.
 
Hamna wimbo wowote kichwan mwangu...anything wrong?? :coffee:
 
Mwana meka eeeh mwana meka..................:becky::becky::becky::becky:
 
Kumba kisa..King Makusa akiwa na Bima Lee kuna wimbo mmoja wa zamani unaitwa Kipini cha dhahabu..
..Magengee mengine mabayaaa..ooho mama watoto
..watu wanapokusanyikaa...wengine hufaidika...Wengine wanapotea
..Wengine huwadanganya wenzaoo .kutaka maisha ya juuu mamaaa
...
Sijui yupo wapi TIZED BOY na mistari yetu ya enzi hizo kwenye Tuziimbe huku! ndani ya DHB
 
Makii wanakwambia Crala...

''Wazuri ni wengi nimekuchagua wewe
Miaka rudi tumeishi mimi na weewe
nimevumilia yote ooh mamaa
Crala eeeeeeh
Nimekukosea nini Maama
Oooh oooh oooh
Nimekukosea nini maama

Chorus:
Crala ooh Mama
sikujua kama utanikataa eeeh
Crala ooh Maamaaaaa

Mla nawe si mfa nawe
Mpenzi Mamaaa naaminiiiii
Utanikumbuka Crala eeeeh.....
 
Back
Top Bottom