Wimbo gani unapenda upigwe mubashara ukiwa bar?

Wimbo gani unapenda upigwe mubashara ukiwa bar?

mlekulechoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,366
Reaction score
1,059
Karibuni wanajamvi!binafsi nikiwa bar....halafu bendi inapiga mubashara!nisipopigiwa nyimbo hizi 2.......hapatakalika!
1.Nawashukuru wazazi wangu.....wakati wowote
2.Tanzania yetu ni nchi ya kusifiwa....

Je wewe unapenda nyimbo gani?karibu!
 
Mhudumuu eee.. Ikifika nusu leta nyingine..
 
Dah..... Ule WA mbele kwa mbele wa captain huwa unanikuna sana.....[emoji13] [emoji13]
 
Nataka kulewa lewa mi nataka kulewa

Nani kamwaga pombe yangu?

Waiter...chupa nyingine bwana!

 
Back
Top Bottom