Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni wanajamvi!binafsi nikiwa bar....halafu bendi inapiga mubashara!nisipopigiwa nyimbo hizi 2.......hapatakalika!
1.Nawashukuru wazazi wangu.....wakati wowote
2.Tanzania yetu ni nchi ya kusifiwa....
Je wewe unapenda nyimbo gani?karibu!
Ha ha ha ha. Hapo sawaHiyo ni free style, inaimbwa pale chupa zishapanda kichwani
we unapenda wimbo gani nikutafutie usikilizeHa ha ha ha. Hapo sawa
Kasukuwe unapenda wimbo gani nikutafutie usikilize
Sanaaaa. Ajabu nina utafuta siupati jamaniiiiiNaupenda pia!wimbo mzuri!
Mpendwa huu hapa. Burudika....Kasuku
Rangi ya chungwa
Lakini nitafutie msafiri "mimi ni msafiri ooh, sijui kama nitafika"
Mpendwa huu hapa. Burudika....
Utakuwa mdau wa CalabashKaribuni wanajamvi!binafsi nikiwa bar....halafu bendi inapiga mubashara!nisipopigiwa nyimbo hizi 2.......hapatakalika!
1.Nawashukuru wazazi wangu.....wakati wowote
2.Tanzania yetu ni nchi ya kusifiwa....
Je wewe unapenda nyimbo gani?karibu!
Nikutumie?Sanaaaa. Ajabu nina utafuta siupati jamaniiiii
Mpendwa huu hapa. Burudika....
[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuwa mdau wa Calabash
Hiyo namba moja ya Mario wakati unaagiza alafu nyama choma na kinywaji vikifika namba 4 na 5 inakuwa inatulia zaidi1, Mario by franco/monica seka na
Mamou
3 Okhaman by monica seka
4 Nairobi na esiyo wapi by 2 ya beli
5…Embe dodo by mushroom
6 Dar jazz… song masudi pi makoma wapo na nyimbo nzuri