Wimbo gani unapenda upigwe mubashara ukiwa bar?

Wimbo gani unapenda upigwe mubashara ukiwa bar?

Nazipenda sana hizi nyimbo ulizoweka Mkuu.

Karibuni wanajamvi!binafsi nikiwa bar....halafu bendi inapiga mubashara!nisipopigiwa nyimbo hizi 2.......hapatakalika!
1.Nawashukuru wazazi wangu.....wakati wowote
2.Tanzania yetu ni nchi ya kusifiwa....

Je wewe unapenda nyimbo gani?karibu!
 
Utakuwa mdau wa Calabash
 
1, Mario by franco/monica seka na
Mamou
3 Okhaman by monica seka
4 Nairobi na esiyo wapi by 2 ya beli
5…Embe dodo by mushroom
6 Dar jazz… song masudi pi makoma wapo na nyimbo nzuri
Hiyo namba moja ya Mario wakati unaagiza alafu nyama choma na kinywaji vikifika namba 4 na 5 inakuwa inatulia zaidi
 
Back
Top Bottom