Wimbo gani unaupenda zaidi?

Wimbo gani unaupenda zaidi?

Mimi napenda ukuuuti ukuuuti wa mnaaaazi wa mnaaazi...

Its not easy-luck dube hii nyimbo huwa inanikosha sana

Them Belly Full - but we hungry - Robert Nesta Marley (Bob Marley) hususani anaposema - a hungry man is an angry man.......... huo mstari unaweza uandikia paper na uka-publish....

Wana Jf

najua kuna wimbo unaupenda kuusikiliza kila siku iwe ofisini, kwenye gari lako au nyumban kwako!

Mimi binafsi "africa unite" wa bob marley.

Unapenda up?

nimeusahau huo africa unite, hebu imba kidogo tusikie

nimeusahau huo africa unite, hebu imba kidogo tusikie

nitumie no yako kwa PM then nikutwangie nikushikie mistari.

Ee Bwana umenichunguza - Christian Shusho
Kwa imani - Bethel

Back
Top Bottom