Wimbo gani wa Hip Hop/Bongo Flava ambao hujasahau mistari yake?

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
479
Reaction score
670
JAMANI EEEH. NYIMBO GANI YA ZAMANI YA HIP HOP BONGO FLEVA HADI LEO HAUJASAHAU MISTARI YAKE?

MIMI KUNA HII HAPA CHINI YA JCB INAITWA SINA TAXI REMIX. HEBU TILILIKA NAYO HUKU UKITUPA NA WEWE LYRICS ZA NYIMBO UNAYOKUMBUKA HADI LEO.

Eni sina,

Wamenipukutisha mapene kichina,

Usiku wa manane after dina,

Chakula cha usiku kwa kina pina,

Nafoka dunia nzima,mpaka good kuokoka jua ni utu uzima,

Mtu mzima sina taxi, toka TZA mpaka basi,

Naomba mchukue nafasi, kusikiliza hizi varsi,

Natafutwa kama Almasi,

nikiwa nime-relax huwezi nikosa na nyasi,

na taxi nakwenda club kwa bwax,

Napata max after mikasi,

Dere usiende kwa kasi,

Kwani tupo pamoja kuenzi hii fani,

Nawarudisheni zamani kwenye remix,

Waliojimix kwa fix wawe karibu nasi,

Wakigongea nyasi, wakitu-discuss,

Kwanini tumekuja na taxi,

Wangekuwa Osama, wangetupiga risasi wamekwama,

Wamebebwa na MO plus,

Anzia tungi mpaka embasi,

Kuanzia mbungi mpaka kuondoka na taxi,

Wana kisasi mpaka waseme basi,

Marashi hayapotezi harufu ya ashiii,

Haina udasi kwa kona kama inasoma kwa fasiii
 
Usijiulize mi ni yupi, mi ni nuksi zaidi ya shaka.../
Nabonge la mkuki ndani ya chupi, hii ni boxer.../

Maisha ni menu na muhudumu ni muda, fasta onganisha order zenu kisha hukumu itakuja.../
Mi ni mbishi zaidi ya nyota uzionazo mchana wa jua kali, siishi kwa kukopa naogopa loss itanitosa mbali.../

Itandondosha ngosha ntachoka itakua hatari, nafikiria kutoka ila shoka kosa nishajua hatari.../

Nacho hofia ni kile kioo cha bafuni kwangu, nacho jiangalia kwa ile kazi ya macho yangu.../
Ustaa unalipa tena mnaniombea nisipande, nataka keki nzima nimechoka kuonja vipande.../

Nafanya mziki kwa ajili yako we unapokea kwa shingo upande, kama vipi changanya tako ili mavi yasigande.../

Cypher ya 2012
Fid Q
 
Usijiulize mi ni yupi, mi ni nuksi zaidi ya shaka.../
Nabonge la mkuki ndani ya chupi, hii ni boxer.../

Maisha ni menu na muhudumu ni muda, fasta onganisha order zenu kisha hukumu itakuja.../
Mi ni mbishi zaidi ya nyota uzionazo mchana wa jua kali, siishi kwa kukopa naogopa loss itanitosa mbali.../

Itandondosha ngosha ntachoka itakua hatari, nafikiria kutoka ila shoka kosa nishajua hatari.../

Nacho hofia ni kile kioo cha bafuni kwangu, nacho jiangalia kwa ile kazi ya macho yangu.../
Ustaa unalipa tena mnaniombea nisipande, nataka keki nzima nimechoka kula vipande.../

Nafanya mziki kwa ajili yako we unapokea kwa shingo upande, kama vipi changanya tako ili mavi yasigande.../

Cypher ya 2012
Fid Q
ngoma kali sana ile... fid q ni mkali sana kwenye punchlines
 
Umoja ni ujasiri
Mali za watu hazina siri
Kama haupo tayari kuumiza akili
Jiandae kuumiza mwili
Yatakapokuja usianze imba nipeni deal
Anza kujiamini, nia malengo
Ubinafsi ni wanini
Fanyeni kazi acheni majungu
Nyi wapumbavu nini
Roho mbaya ingekuwa utajiri
Basi mngeuaga umasikini
Waswahili mnaumiza waswahili uswahilini
Hao magharibi wa nini kwenye ballot zenu hapa nchini
Nchi inauzwa unang'ang'ana kuuza sura mjini?
Una akili wewe?
 
Huwa wanauliza naskiza vipi inaposkika beat, Kwa hii mizani kwenye vina wanashindwa kuupima mziki.../
Naposhika biki watoto wanashika speech, midondoko moko wamoto wanamshika vipi.../

Chagua kujenga imani au kujenga ghorofa, kumteka mpinzani au kumpa ushindani wakutosha.../
Chagua kupenda ku ghani sio kutoka, yani uzeekee ndani ya fani usipewe promo ya kutosha.../

Napovunjwa moyo naujenga tena, na usiweke chuki iache iondoke na iende vyema.../
Usimtenge mpendwa kwa moyo umpende tena, Usipende kusema tenda apendacho na utende vyema.../

Milele ntasimama nikidondosha fasihi, Wanabana kwakua nimekataa kuipotosha jamii.../
Ila mkali naheshimika ki-uhakika sio kwa zali, Na habari ikifika wataiandika kila mahali.../

Credit: One the Incredible (Uno)
Song: kivyovyote
 
Natoka bush naingia dar, mataa yamejaa kuona mwangaza naskia raha../
Nashuka kwenye ndinga naanza kumsaka uncle, Nkilinda wajinga wasinpige changa la macho.../

Nikamtafuta kila kona haonekani, Nkaingia kibanda cha simu nikapiga simu hewani.../
Samahani mteja unayempigia hapatikani, Jaribu baadae na kama ukishindwa hata mwakani.../

Oh my God ntafanya nini, Wakati maskini na simjui yeyote hapa mjini.../

Nkacheki mida saa sita kasoro, Pembeni nikaona giza nkaanza kupita chochoro.../
Vichaka vya ubungo, mashaka na mafumbo....Mara nkasikia msaada vibaka wananipiga mtungo.../

Sauti za chuki zikimfokea, Nkasimama kutazama sauti inapo tokea.../

S.O.N.G.A
Usiku
 
Tuanzie 2000 hadi 2013 hivi
Polisi wanasapoti Gangsta Rap ”ili uhalifu uongezeke”
Wabana pua kuimba mapenzi ”je itafanya ukimwi usepe”
Media zinapromoti beef ”wanadai zinakuza mziki”
Wadau wana wasanii wabovu ”nyie wakali mtatoka vipi?”
hizi ni PROPAGANDA.. usiulize ni nani?ni yupi?
saa ngapi?ilikuaje?na nani?ili iweje?
hizi ni PROPAGANDA.. utaibiwa ukicheza blanda
yule last King of Scotland sio IDD AMIN wa Uganda
 
Album yote ya sauti ya jogoo,Malcom x,tuseme ngoma zote chini ya tamaduni muzik sitakuja kuzisahau...

Ila hizi za kikosi kazi sizielewi
 
Ngwair ft. Bushoke - Bila Mziki lyrics

Verse 1: Ngwair
Yeah
Yow!
Tulizaliwa kwenye shida tukakulia kwenye hizo hizo' shida ki shida shida
Kukaba, Ganja, Widah, Kusukuma kete kwa mateja' kawaida
Chochote ili mradi ku-succeed ah coz life ni tough halafu' feelings kibao lazima tu puff puff pass
Simba akikosa nyama ni nyasi ( Woo! )
Ghetto maji ya mtungi sio friji, unamjua mama na hujawahi muona dingi
Ujapenda ila ndio ushazaliwa ghetto ila usingependa wako mtoto' watoto waje pitia lifestyle uliyo ishi
Sio lazima uwe mbishi' usake hela, Busy' ka (?) na Said Fella na ukizingua ni jela ( So )
Sawa msela?
Yeah

Chorus: Bushoke
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Ah )
Maisha yangekuwa aje bila mziki
Kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki

Verse 2: Ngwair
Yote maisha katuandikia Allah, fanya juhudi pia usisahau sala
Kama hauna kitu usichague kazi, mlango moja ukifungwa tisa iko wazi
Na mshukuru mola kwa kuumba huu mziki ( Yeah )
Wengi tu umetutoa kwenye dhiki hatukuvaa nguo mpya sikukuu, japo tulisoma ila sio elimu za juu
Na' ustake juwa shughuli zetu za zamani ila usipime kama tunge-lost vitani
Tukiwa na Nako hata kabla hawaja bang' usiku tuki-move kwa ma- gang
Tayari nilishaitwa msanii kabla sijashika mic, sijajuana na P ( So )
Jiulize ulikuwa usanii gani wengi tu leo hii hawapo tena duniani
Rest in peace!

Verse 3:
Yow
Yow
Hii kitu hii ( Hii )
Hii kitu hii ( Hii )
Imefanya wengi tu wametoka
Wagosi wa kaya, Ras Lion, John Walker
Sitegemei Professa Jay kuchoka ( Ayo )
A.Y.,( A.Y. )
F.A. ( Yeah ) na Dj Dee ndio yuko juu every day
Japo mwanzo ilionekana uhuni, Nature ana heshima yake hata ukimuita katuni
Tusipigie kelele tu haki miliki huku wenyewe tunaleteana usaliti
Tunachohitaji ni unit ka Kwanza, J-Moe mwana tuendelee kukaza
Kwa kudra za mola aliye juu, dream zetu siku zitakuwa true
Nnachoamini Ngwair' ni lazima siku moja niwe a-milli, a-milli, onaire
Holla!

Chorus: Bushoke
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Oh mmh Luh luh duh )
Maisha yangekuwa aje bila mziki ( Yangekuwa aje aje yeah )
Kwa masela wa kitaa ( Oh ) kwenye nyuzi za gitaa ( zi za kitaa )
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki ( Bila mziki mziki )

Outro:
Oh no no
P-Funk
Bongo Records
The Cowboy
B ruta (?)
Mm mziki

[ Instrumentals ]
 
zamani ipi unamaanisha
Tuanzie 2000 hadi 2013 hivi
Huwa wanauliza naskiza vipi inaposkika beat, Kwa hii mizani kwenye vina wanashindwa kuupima mziki.../
Naposhika biki watoto wanashika speech, midondoko moko wamoto wanamshika vipi.../

Chagua kujenga imani au kujenga ghorofa, kumteka mpinzani au kumpa ushindani wakutosha.../
Chagua kupenda ku ghani sio kutoka, yani uzeekee ndani ya fani usipewe promo ya kutosha.../

Napovunjwa moyo naujenga tena, na usiweke chuki iache iondoke na iende vyema.../
Usimtenge mpendwa kwa moyo umpende tena, Usipende kusema tenda apendacho na utende vyema.../

Milele ntasimama nikidondosha fasihi, Wanabana kwakua nimekataa kuipotosha jamii.../
Ila mkali naheshimika ki-uhakika sio kwa zali, Na habari ikifika wataiandika kila mahali.../

Credit: One the Incredible (Uno)
Song: kivyovyote
Tisha sana na Moko wa Miujiza......

Nitafute usiponiona ujue basi,
Nipo juu naning'inia kama tone la kamasi...
 
Polisi wanasapoti Gangsta Rap ”ili uhalifu uongezeke”
Wabana pua kuimba mapenzi ”je itafanya ukimwi usepe”
Media zinapromoti beef ”wanadai zinakuza mziki”
Wadau wana wasanii wabovu ”nyie wakali mtatoka vipi?”
hizi ni PROPAGANDA.. usiulize ni nani?ni yupi?
saa ngapi?ilikuaje?na nani?ili iweje?
hizi ni PROPAGANDA.. utaibiwa ukicheza blanda
yule last King of Scotland sio IDD AMIN wa Uganda
fid q na Propaganda...Kizazi Saaana
 
Ngwair ft. Bushoke - Bila Mziki lyrics

Verse 1: Ngwair
Yeah
Yow!
Tulizaliwa kwenye shida tukakulia kwenye hizo hizo' shida ki shida shida
Kukaba, Ganja, Widah, Kusukuma kete kwa mateja' kawaida
Chochote ili mradi ku-succeed ah coz life ni tough halafu' feelings kibao lazima tu puff puff pass
Simba akikosa nyama ni nyasi ( Woo! )
Ghetto maji ya mtungi sio friji, unamjua mama na hujawahi muona dingi
Ujapenda ila ndio ushazaliwa ghetto ila usingependa wako mtoto' watoto waje pitia lifestyle uliyo ishi
Sio lazima uwe mbishi' usake hela, Busy' ka (?) na Said Fella na ukizingua ni jela ( So )
Sawa msela?
Yeah

Chorus: Bushoke
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Ah )
Maisha yangekuwa aje bila mziki
Kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki

Verse 2: Ngwair
Yote maisha katuandikia Allah, fanya juhudi pia usisahau sala
Kama hauna kitu usichague kazi, mlango moja ukifungwa tisa iko wazi
Na mshukuru mola kwa kuumba huu mziki ( Yeah )
Wengi tu umetutoa kwenye dhiki hatukuvaa nguo mpya sikukuu, japo tulisoma ila sio elimu za juu
Na' ustake juwa shughuli zetu za zamani ila usipime kama tunge-lost vitani
Tukiwa na Nako hata kabla hawaja bang' usiku tuki-move kwa ma- gang
Tayari nilishaitwa msanii kabla sijashika mic, sijajuana na P ( So )
Jiulize ulikuwa usanii gani wengi tu leo hii hawapo tena duniani
Rest in peace!

Chorus: Bushoke
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Ah )
Maisha yangekuwa aje bila mziki
Kwa masela wa kitaa kwenye nyuzi za gitaa ooh yeah
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki

Verse 3:
Yow
Yow
Hii kitu hii ( Hii )
Hii kitu hii ( Hii )
Imefanya wengi tu wametoka
Wagosi wa kaya, Ras Lion, John Walker
Sitegemei Professa Jay kuchoka ( Ayo )
A.Y.,( A.Y. )
F.A. ( Yeah ) na Dj Dee ndio yuko juu every day
Japo mwanzo ilionekana uhuni, Nature ana heshima yake hata ukimuita katuni
Tusipigie kelele tu haki miliki huku wenyewe tunaleteana usaliti
Tunachohitaji ni unit ka Kwanza, J-Moe mwana tuendelee kukaza
Kwa kudra za mola aliye juu, dream zetu siku zitakuwa true
Nnachoamini Ngwair' ni lazima siku moja niwe a-milli, a-milli, onaire
Holla!

Chorus: Bushoke
Life ingekuwa vipi bila mziki ( Oh mmh Luh luh duh )
Maisha yangekuwa aje bila mziki ( Yangekuwa aje aje yeah )
Kwa masela wa kitaa ( Oh ) kwenye nyuzi za gitaa ( zi za kitaa )
Watu wasingekuwa na furaha >> bila mziki ( Bila mziki mziki )

Outro:
Oh no no
P-Funk
Bongo Records
The Cowboy
B ruta (?)
Mm mziki

[ Instrumentals ]
RIP CowBama
 
Album yote ya sauti ya jogoo,Malcom x,tuseme ngoma zote chini ya tamaduni muzik sitakuja kuzisahau...

Ila hizi za kikosi kazi sizielewi
nitacomment baadae kuhusu KK ngoja kwanza nifanye research
 
Kwa kifupi nilizaliwa kwenye maisha ya kitajir
Wazaz walinipenda walinipa lile hali
Na toka nikiwa mdogo nilionyesha kwamba na Akili sio siri nilikimbia umande kusoma skuona deal! Hii Ngoma Chemsha Bongo ya Mti mkavu sitoisahau mpaka kesho. JAY alikuwa hatar
 
Maisha yalikuwa Matamu,
Nikasahau ya jehanamu,
Ilikubidi uwe na hadhi flani upate japo salamu,
Wazee Wenye busura wakasema kijana Hana nidhamu,
Hawakuumiza kichwa,niliamini hawatanilisha,
Hawatanivisha na hawajui utamu wa maisha
 
Back
Top Bottom