Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Zawadi lyrics
Ngwair
Intro
Yeah
Moja kwa moja toka chemba
Ngwair na east zou you
Dojo kaya Fero
Verse one
Uzuri wako wako wa tabia
Umbo na sura
Ndo ulinifanya sometimes
Mi nishindwe hata kula
Nshasumbuka sana
Mpaka kukupata
Ushanitukana sana
Lakini tamaa sikukata
Badae ulituma zawadi
Za mapenzi na kadi
Dola kumi za simu
Ndo hazina hata idadi
Mpaka leo hii tunaitana wapenzi
Shopping kila siku au kila weekend
Sikupenda kabisa mi utembee kwa miguu
Ndo maana nkakukabidhi ile benzi yangu ya bluu
Na kuthihirisha kwako yangu mapenzi
Sikuona hatari kukuachia na nyumba yangu ya mbezi
Na Mpaka leo maisha ni safi tu
Sema nini unachotaka utapata boo haa
(Si ulisema tutaenda USA?)
Sure wiki ijayo tripu nkitoka Dubai
Sijasahau
Tutapita na UK
Ila now kajiandae ntwende nzetu sleep way
Chorus
Si ulifurahi mpenzi nilipokupa gari
(Yeah)
Cheni nyumba ya kifahari
(Yeah)
Kuna nyingine moja spesho
(IPI hiyo?)
Nilishakupa H.I.V
×2
Verse 2
Kila nkitoka kazini
Mkononi maua waridi
Kuonesha kiasi gani nakujali waridi
Na imani wote tulipendana kwa dhati
Sema kuna kimeo kimeingia katikati
Kumbuka kwenye swala la kujamiana
Mara ya kwanza ngwair nilitaka nsitumie zana
Ukanionya ukanipinga na kunihusia sana
(Si ulijua mambo ya kuambukizana)
Yaah sa sijui ndo ikawa kuzoeana
Ghafla nhee what! Tukaanza nyama kwa nyama
Mpaka leo usinione nimeinama chini
(Kwanini? Ina maana mpenzi huniamini?)
Noo! Nimegundua tunaishi na virusi
(Vya ngoma? )
Yoo
(Haa! Hiyo sio rahasi)
Sure hata mimi mara ya kwanza ilinishangaza
Ila gage hili hapa sasahivi natokea angaza
Mi ninao na we tu utakua nao
Ila sijui mi nimekupa we
we umenipa mi
Ma ila usijali mambo yatakua mazuri
Sio siri jamaa amenipa bonge la ushauri
Na kesho alfajiri na safari ya mbugani
Sema honey nikirudi nkuletee zawadi gani
(Ya nini)
Sema chochote unachotaka
(Sitaki nadhani ya virusi inanitosha)
Repeat chorus
Outro
Hoo
Hoo hohohooo
Hoo
Hoo hohohoo
Hoo
Amini mpenzi hii ni kama ajali
Iliyotokea katikati ya safari
Mi mwenyewe haya sikutegemea
Kama mbele haya yangaja tokea
Uhusiano wetu umetoka mbali
Na mi moyoni mpenzi bado nakujali
Mpenzi wangu usije nitenga
Pamela but bado mpenzi nakupenda.
Ngwair
Intro
Yeah
Moja kwa moja toka chemba
Ngwair na east zou you
Dojo kaya Fero
Verse one
Uzuri wako wako wa tabia
Umbo na sura
Ndo ulinifanya sometimes
Mi nishindwe hata kula
Nshasumbuka sana
Mpaka kukupata
Ushanitukana sana
Lakini tamaa sikukata
Badae ulituma zawadi
Za mapenzi na kadi
Dola kumi za simu
Ndo hazina hata idadi
Mpaka leo hii tunaitana wapenzi
Shopping kila siku au kila weekend
Sikupenda kabisa mi utembee kwa miguu
Ndo maana nkakukabidhi ile benzi yangu ya bluu
Na kuthihirisha kwako yangu mapenzi
Sikuona hatari kukuachia na nyumba yangu ya mbezi
Na Mpaka leo maisha ni safi tu
Sema nini unachotaka utapata boo haa
(Si ulisema tutaenda USA?)
Sure wiki ijayo tripu nkitoka Dubai
Sijasahau
Tutapita na UK
Ila now kajiandae ntwende nzetu sleep way
Chorus
Si ulifurahi mpenzi nilipokupa gari
(Yeah)
Cheni nyumba ya kifahari
(Yeah)
Kuna nyingine moja spesho
(IPI hiyo?)
Nilishakupa H.I.V
×2
Verse 2
Kila nkitoka kazini
Mkononi maua waridi
Kuonesha kiasi gani nakujali waridi
Na imani wote tulipendana kwa dhati
Sema kuna kimeo kimeingia katikati
Kumbuka kwenye swala la kujamiana
Mara ya kwanza ngwair nilitaka nsitumie zana
Ukanionya ukanipinga na kunihusia sana
(Si ulijua mambo ya kuambukizana)
Yaah sa sijui ndo ikawa kuzoeana
Ghafla nhee what! Tukaanza nyama kwa nyama
Mpaka leo usinione nimeinama chini
(Kwanini? Ina maana mpenzi huniamini?)
Noo! Nimegundua tunaishi na virusi
(Vya ngoma? )
Yoo
(Haa! Hiyo sio rahasi)
Sure hata mimi mara ya kwanza ilinishangaza
Ila gage hili hapa sasahivi natokea angaza
Mi ninao na we tu utakua nao
Ila sijui mi nimekupa we
we umenipa mi
Ma ila usijali mambo yatakua mazuri
Sio siri jamaa amenipa bonge la ushauri
Na kesho alfajiri na safari ya mbugani
Sema honey nikirudi nkuletee zawadi gani
(Ya nini)
Sema chochote unachotaka
(Sitaki nadhani ya virusi inanitosha)
Repeat chorus
Outro
Hoo
Hoo hohohooo
Hoo
Hoo hohohoo
Hoo
Amini mpenzi hii ni kama ajali
Iliyotokea katikati ya safari
Mi mwenyewe haya sikutegemea
Kama mbele haya yangaja tokea
Uhusiano wetu umetoka mbali
Na mi moyoni mpenzi bado nakujali
Mpenzi wangu usije nitenga
Pamela but bado mpenzi nakupenda.