Wimbo gani wa zamani uliupenda

Dereva kalewa gongo je sawa iyooooo? haaaata hiyo si sawa dereva wacha vituko (Jina la mwimbaji atataja mwengine, sio wimbo nataja mimi na jina pia, not fair)
Mayassa
Ngapulila
na ule wa Kikenya ule unaimba......... ee bwana nipe pesaa, watoto wanaliaaa, lakini mke wangu, mezowea kutangatanga, hata majiranii wamechoka kumuonaaa, huwa wanasema fungeni milango anakujaaaaaaa.
 
teh teh halafu message ya ukweli.....kweli tumetoka mbali
 
kuna songi moja iv.... kuoana ni jambo la sifa kwa......! naupenda huu wimbo, kaimba ukweli mtupu na busara kibao yan!
hehehehe ila ujumbe wao huwa umesimama sana
 
Sasa Nimeamia mtaa wa saba...ile nyumba sio nyumba ilikuwa na mikosi eeee..
Marijan ..na song la uhakika ...

halafu sasa walikuwa wanaongea reality kuhusiana na real life
 
teh teh halafu message ya ukweli.....kweli tumetoka mbali
kazi kwenu mnaokazana kutafuta mapenzi ya kweli siku hizi wakati hayapo, ha haaaaaaaaaaaaaa
sasa hapa dawa sijui ndo nini, kuingia kwenye uongo au kujiachia!!!!!!!!!!!!! aha!
 
"SIRI YA USINGIZI"DR REMMY ONGARA!
Siri ya usingizi ni nini eeeeeee!siri ya usingizi ni mwanamkeee.........

halafu kweli mana bila hivo hulali
 

Lawyer kumbe we ni wale watu wanaofahamu wimbo ila hawajui jina la wimbo....hata hivo inaonekana umekariri wakati mzee akisikiliza redio
 
kazi kwenu mnaokazana kutafuta mapenzi ya kweli siku hizi wakati hayapo, ha haaaaaaaaaaaaaa
sasa hapa dawa sijui ndo nini, kuingia kwenye uongo au kujiachia!!!!!!!!!!!!! aha!

hehehehehe mapenzi yalikuwa zamani Fixed Point,siku hizi raia zinachakachua mapenzi
 
Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha Baba , Ama kweli duniani imani imekwisha, kwa msiba wa tajari mambo huwa shwari, lakini kwa fukara ni matatizo . Na kuendelea ......
Mambo ya Msondo.
 
The story of Mabaker...ilipigwa na ABBA or BONEY M...nachanganya kidogo
 
Masudi amekuwa jambazi, ukikutana nae usiku mpitie mbali, laasivyo atakudhuru kaka......hii sikumbuki ilipigwa na nani....
 
Upendo ni uhai
Chuki ni mauti...
Upendo wa kweli huwatumikia wenzako..
Upendo ni utumishi
Utumishi ni upendo mamaaa.....

Kibela acha chukii..
Chuki huleta migonganooo...

Kibela acha chukii
chuki huleta ugomvi wee..
Eeh Kibela,Kibela acha Kibela...
ooh Kibela,Kibela acha Kibela...

Hao ni akina Kasongo Mpinda,na keyboard ya dada Asia Darwesh(RIP)
Bendi gani? MK Group hiyo..
 
Nikumbusheni wimbo wa yule jamaa aliyetongoza mwanamke,na wakakubaliana kesho yake jamaa aende. Jamaa alipofika kwa yule dada,akakuta maturubai,akatoa pole na alipomuulizia yule dada,akaambiwa ndiye aliyekufa!
 
Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha Baba , Ama kweli duniani imani imekwisha, kwa msiba wa tajari mambo huwa shwari, lakini kwa fukara ni matatizo . Na kuendelea ......
Mambo ya Msondo.

Kweli we wa juzi..
 
K
Kweli we wa juzi..

Kipande cha Papa kile cha hela kumi kwangu mie mboga ya siku 3,
hata lapa la mguu lanishinda, kila nitembeapo jua lanichoma,
Kitanda changu nyumbani ni cha kamba, kunguni wamejaa, waningoja mie shidaa.
Haya ongea sasa mie wa juzi ?
Ntake razi ,
kabla sijakumuvushia nyingine ! Ebooo ! Chezea mie weyee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…