Wimbo gani wa zamani uliupenda

Mnamkumbuka marehemu Joseph Kabasele wa Africn jazz na kitu chake cha INDEPENCE CHACHAAA...gitaa ilikuwa inapigwa na jamaa Anaitwa Pablo Machine 1950!!!!!!

mkuu hiyo ngoma ilikuwa ya ukweli sana
 
Ila tumeshazoea sasa,mana unakuta mapenzi hayaumizi tena
sasa hapo ndo mmeharibu, raha ya mapenzi ni kuumiza...................... yaani kama unamkuta hapo mtu wako yupo na mwingine na huumii hayo siyo mapenzi tena.................................... mi nadhani tutafute tu jina jingine, au mnasemaje?
 
kweli jamani mkumbusheni jina na bendi Trachy...
Track ilikuwa kali ile...

Jamaa siku ya miadi alipoenda,anakuta demu wake mtarajiwa 'kafa' !
 
...Ingekuwa ni ndoto wala nisingejali nawaombeni enyi walimwengu myajue mateso yangu.
Ahaha mwenzenu mie walisema watu lisemwalo kama halipo lajaa...
Hili song la DDC lilikuwa kali sana...
Kuna mwingine pia unasema...nawashukuru wazazi wangu wakati wowote... Kweli zamani ilikuwa raha sana!
 
ulinieleza mazuri toka mdomo wako, bila kusita nikaamini bila shaka ooh mama ...!!! kumbe mwenzangu una mengi moyoni
usije ukapata taabu ukaanza kulia, niachie mimi nilie nimekwisha zoea aaah,

kusema kweli nia yako siiifahaaamu oooh dada............... ooooooooh mama oooooh oooh lelee oh ....!! hooo mama mimi namlia ZIADA - OSS ( MTUNZI KABEYA BADU)
 
" ali mwinyi" x 2
"ndiyo ndiyo ndiyoo....

Mwenye busara na heshimaa...
Ndiyo x3
 
Jamani nimeshindwa ku-catch up na pages zote so I hope hakuna aliendika wimbo wa "Dunia sasa imani imekwisha...nyonyo za watu zimebadilika...kwenye watu kumi...binadamu mmoja"...Sikumbuki waliimba kina nani ila nilipenda sana ile verse ya "Fundi cherehani, kaletewa kitambaaa, mwenyewe kataka suruali tatu, kumbe mfukoni fundi kachacha, kitambaa kauza..............." Memories! ;-)
 

mkuu natafuta hilo songi nimekosa kabisa.. utanisaidiaje?
 
baba mchungaji
kuna wimbo unaitwa
.....twist ni pendo langu, tucheze, tuimbe twist........
hivi unao hapo?
Taja zilipendwa na bongoflava au hip hop ya zamani.

Mi nilipenda sana Rangi ya chungwa,kasuku na Mikononi mwa polisi Mr.II
 
kaa tayari kwa ku listen,
salehe jabri mabwenyu rejected
kitu kimenikaa moyoni sasa naamua kukitoa mdomoni..............

huhaa !! kaa sehemu moja kama rafiki yangu selle
ana mtoto mmoja ndiye yeye chaupele
hataki maneno maneno wala kelele
yooh i don't know kusema mengine naona choo
nipo kwenye stage nataka mic ya umeme...............


lol huyu jamaa sijui yupo wapi ki ukweli bongo f kaitoa mbali
 
alieimba ni marijani rajabu na bendi ni dar intenational umenipata uliza mwingine
 
wimbo nilioupenda uliimbwa na ddc mlimani park nalala kwatabumie walisema watu wasemalo kama halipo jala kwani wazuri na wabaya nihaohao ingekua ni ndoto mimi nisingejali usione kukuchekea sio kufurahi na we kakaaaa
 
asante Slave
mambo zako zikoje leo?
 
Last edited by a moderator:
asante Slave
mambo zako zikoje leo?

mambo zangu huku ni bhierre mtindo mmoja , moja moto moja baridi + nyama choma huku nimenig'iniza miguu kwenye viti mchuchumio kama vipi liunge
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…