Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kweli wamejitahidi sana kuyachakachua...................hehehehehe mapenzi yalikuwa zamani Fixed Point,siku hizi raia zinachakachua mapenzi
sasa hapo ndo mmeharibu, raha ya mapenzi ni kuumiza...................... yaani kama unamkuta hapo mtu wako yupo na mwingine na huumii hayo siyo mapenzi tena.................................... mi nadhani tutafute tu jina jingine, au mnasemaje?Ila tumeshazoea sasa,mana unakuta mapenzi hayaumizi tena
..oyee krismas oyee, noele baba! Tukacheze kamanyola na marquis ooo! Krismas oyee dah hili songi wadau ni tamu mno hasa ifikapo nyakati za mwisho wa mwaka krismas inakaribia halafu umetune tbc taifa enzi hizo redio tanzania kweli huwa inanikumbusha miaka ya utoto wangu bila nguo mpya sijaenda church, natafuta cd yake pgata kwa fisi ntanunua
Taja zilipendwa na bongoflava au hip hop ya zamani.
Mi nilipenda sana Rangi ya chungwa,kasuku na Mikononi mwa polisi Mr.II