King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Soukous Star---Rozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena enzi hizo unakuta ile miti ya mi-xmas huwa imechanua yote red mkuu!teh teh umenikumbusha mbali,enzi hizo kila sehemu ilikuwa green,kuna miti,maji na chemchemi kibao
halafu nyumbani kuna mbuzi watatu na mmoja mnamchinja kwa x-mass
kaka sijui mtuzi ila remix amefanya mr.paul...ilikua asubuhii na mapema jua.....(sijui nini na nini hapo...sikumbuki)
ndipo nilipatwa na mshituko usosemekana mama!
kwenye daraja la salender magari mawili yamegongana maamaaa!..
wazee endeleeni!
kaka sijui mtuzi ila remix amefanya mr.paul
na ukishiba unashiba haswa....sometimes mpaka nawaza niende kujenga kijijini niniAchaa mkuu usinikumbushe mkuu.
Wapishi wa pilau wa ukweli walikuwepo enzi hizo.Tena pilau inapikwa k'koo harufu Unaikuta buguruni.
Pilau imejaa mitimiti kibao enzi hizo.
Dah King King umeua aiseeeSoukous Star---Rozi
Yan we ni Kilaza kila kona Lol...ilikua asubuhii na mapema jua.....(sijui nini na nini hapo...sikumbuki)
ndipo nilipatwa na mshituko usosemekana mama!
kwenye daraja la salender magari mawili yamegongana maamaaa!..
wazee endeleeni!
Sanaaaaaaaa yan nauenda sana Excellent.....Georgina georgina,unaniletea masikitiko...wimbo wa ukweli
Yaani umenifanya nicheke kwa sauti kubwa............... thanxYan we ni Kilaza kila kona Lol
Ni Zuwena.....
Soukous Star---Rozi