Wimbo gani wa zamani uliupenda

Wimbo gani wa zamani uliupenda

Nipeni Title ya Ule wimbo "inapotokea mwenye mali yu mahututi..
Utasikia wameanza kuuza mali...
Hata watoto wake wanaanza kudhulumiwa..'
 
Nipeni Title ya Ule wimbo "inapotokea mwenye mali yu mahututi..
Utasikia wameanza kuuza mali...
Hata watoto wake wanaanza kudhulumiwa..'

Mali ya baba, inanitoa roho, ni-bora nikae pembeni...

Twatoana roho yalabi, kwa malia alizoacha baba.
 
Back
Top Bottom