LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
HII Ni kwa waamini tu.
Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika.
Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but wanasahau kitu kimoja kikubwa sana.
Zipo nyimbo ( Za kikristo) Na Dua Za kiislamu zilizo ghaniwa Kwa melody nzuri ambazo Zina nguvu kubwa Sana ZA kiroho Na zipo very active katika kupambana Na kuzishinda/kuziharibu Kazi zote ZA Ibilisi.
Ni hivi hakuna maneno yenye nguvu katika ulimwengu WA kiroho kama maneno ya kiroho yanayo tamkwa Kwa NJIA ya melody ( Melodic)
( Hata wachawi huwapiga watu kwenye mahepe Na Ngoma zote ZA KICHAWI Kwa ujumla Kwa Sababu Ina aminika kwamba universe huwa Ina respond very faster to melodic words than to flat words)
Wahindi wanaijua Siri hii, wazulu waliitumia Siri hii kama Moja WaPo Kati ya nyenzo Za kiroho katika kupigania uhuru wao.
Ina aminika kwamba hata Mwenyezi Mungu wakati anauumba ulimwengu Huu Yale maneno aliyo yatamka kwamba liwe Jua, uwe mwezi n.k alikuwa anayatoa Kwa Sauti ambayo Ni Melodic. Haikuwa Sauti flat
Melody Zina nguvu Sana.. Hata kama sura yako imevimba kama korodani Za nguruwe ukisimama mbele za watu ukaimba wimbo wenye melody nzuri utaonekana handsome. Utafunikwa Na utukufu wa hiyo melody nzuri.
Back to my point: zipo nyimbo nzuri Na Dua zilizo ghaniwa vizuri ambazo Zina nguvu kubwa Sana katika ulimwengu wa roho.
Leo nitaanza Na wimbo Huu. Jina la wimbo: SADAKA YANGU.
Mtunzi: Father Amedeus Kauki( Kanisa Katoliki)
Wimbo Huu una nguvu Zaidi ya hizo nilizo zitaja kwenye kichwa cha Uzi Huu..
Jenga tabia ya kuwa unaupiga wimbo Huu nyumbani kwako Kila mara halafu utakuja kuniambia..
N.b : Ni vizuri Zaidi Moyo wako uwe Na same spirit kama maneno ya kwenye wimbo Huu.
Next time( Kesho, INSHA'ALLAH) nita upload " Suratul Yaseen" iliyo ghaniwa Na Sheikh mmoja wa Saud Arabia bingwa WA nyiradi.. Ni Dua yenye nguvu Sana.. Sheikh huyo ameighani kutoka moyoni mwake...