mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao.
Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu?
Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania oyeeee.....
Wimbo huu ulibeba maudhui ya kuitangaza nchi yetu kuwa na mbuga za wanyama. Wakati naimba wimbo huu sikujua kama katika mbuga hizo kuna binadamu wanaishi. Leo imekuja mjadala mkubwa!