WIMBO: MBUGA ZA WANYAMA

WIMBO: MBUGA ZA WANYAMA

mheshimiwamtemi

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
291
Reaction score
218
Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao.
Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu?
Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania oyeeee.....

Wimbo huu ulibeba maudhui ya kuitangaza nchi yetu kuwa na mbuga za wanyama. Wakati naimba wimbo huu sikujua kama katika mbuga hizo kuna binadamu wanaishi. Leo imekuja mjadala mkubwa!
 
Ngorongoro ni conservation area si hifadhi ya wanyama kama Serengeti au Tarangire.
 
Mkuu,Unaelew Ulichoandika?Zote ni Mbuga za wanyama na Zote conservation areas.NGorongoro imepewa hadhi ya Kipekee ya kuwa mamalaka ambayo inajitgemea,Semi autonomous.Il kote utakuta Simba na wenzake ndo wamezagaa
 
Back
Top Bottom